Kwaheri 2013 karibu sana 2014

ASANTE SANA MKUU BAK HONGERA KWA KUWEKA NYİMBO ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA NA KUUGA MWAKA 2013. mWENYEEZI MUNGU ATUJALIE HUO MWAKA MPYA UWE MZURI NA AMANI NA MAENDELEO YETU NINAWASALIMIA WANACHAMA WOTE NA JAMII FORUMS NA MA MODERATOR WOTE NAWAMBIE HAPPY NEW YEAR 2014. MUNGU AWABARIKI WOTE AMEEN.
 
aSANTE SANA mKUU BAK HONGERA KWA KUWEKA NYİMBO ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA NA KUUGA MWAKA 2013. mWENYEEZI MUNGU ATUJALIE HUO MWAKA MPYA UWE MZURI NA AMANI NA MAENDELEO YETU NINAWASALIMIA WANACHAMA WOTE NA JAMII FORUMS NA MA MODERATOR WOTE NAWAMBIE HAPPY NEW YEAR 2014. MUNGU AWABARIKI WOTE AMEEN.

Ahsante sana Mkuu MziziMkavu kila la heri na Baraka Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
ASANTE SANA MKUU BAK HONGERA KWA KUWEKA NYİMBO ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA NA KUUGA MWAKA 2013. mWENYEEZI MUNGU ATUJALIE HUO MWAKA MPYA UWE MZURI NA AMANI NA MAENDELEO YETU NINAWASALIMIA WANACHAMA WOTE NA JAMII FORUMS NA MA MODERATOR WOTE NAWAMBIE HAPPY NEW YEAR 2014. MUNGU AWABARIKI WOTE AMEEN.

Mkuu MziziMkavu hivi unapomtaja Mwenyez Mungu ukimix na hizi nyimbo za mapepo unamtendea haki kweli? Um not extremist in religion ila mambo ya kidunia ni heri yakawa ya kidunia bila kumhusisha Allah
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Pika bajia na vitumbua halafu unipitishie lol!!!! hahahahaha :plane:..hata kusali farkhina kumbuka kauli zako nyingi zilizojaa busara na hekima tele utaona you've so much to celebrate.

Shukraan BAK...ila sijajua nasherehekeaje lol.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hizi video zimemeliza bundle yangu hakyanani BAK

Hahahahahah polee....ila sie hatuna shukurani maskini BAK anatuburidisha weye walalamika lol.

Kesho unga unlimited alafu uje apa lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Utoto raha banaaa asikwambie mtu, huwa tukakumbushana na siblings enzi za utoto huwa tunacheka sanaaa lol! Mie siku nyingine pocket money ya week yote nilikuwa nimeshatafuna. Ikifika Ijumaa dingi na maza walikuwa wanaweza kunisoma kwamba sina kitu basi wataniuliza vipi leo muziki wapi, basi najibu sina kitu leo basi mmoja ataingia ndani na kurudi na vijsenti vya kuweza kujirusha kwa raha zangu kuanzia Ijumaa hadi Jumapili. Sala muhimu kumshukuru Muumba wetu na kumuomba yaliyo mema na baraka katika mwaka a 2014. Kila la heri na Baraka.

Sie tulikumbushana ile mkienda club na kununua soda moja mnajisikia haswa sijui ilitoshelezaje hadi 4am siku zingine ila watu kiingilio ilikuwa muhimu zaidi.

Siku hizi naona vijana ma cocktail sijui pombe ile ya aina tofauti, hata soda glass itawekewa vikolobwenzo ionekana ya bei bila hizo wanajiona hawajaonekana wakinywa...shame.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pika bajia na vitumbua halafu unipitishie lol!!!! hahahahaha :plane:..hata kusali farkhina kumbuka kauli zako nyingi zilizojaa busara na hekima tele utaona you've so much to celebrate.

Shukraan BAK kwa mara nyengine....si unajua tena wema wako hauozi wala hauna kaburi...

Ntapika makulati niwaletee vipenzi vyangu huko wafurahi.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahah lol!!!! soda moja usiku mzima lol!!!! lakini ukitoka hapo roho kwatuuuu nawe umejirusha kwa raha zako lol!!!! We acha tu siye tukianza kukumbushana vituko vyetu enzi zile watu huwa wanavunjika mbavu dah!!!! Na vituko tulikuwa navyo aisee.

Sie tulikumbushana ile mkienda club na kununua soda moja mnajisikia haswa sijui ilitoshelezaje hadi 4am siku zingine ila watu kiingilio ilikuwa muhimu zaidi.

Siku hizi naona vijana ma cocktail sijui pombe ile ya aina tofauti, hata soda glass itawekewa vikolobwenzo ionekana ya bei bila hizo wanajiona hawajaonekana wakinywa...shame.
 
Shukrani sana farkhina ubarikiwe kila ukitakacho 2014 kifanikiwe maradufu tena kwa kiwango cha juu kabisa.

Shukraan BAK kwa mara nyengine....si unajua tena wema wako hauozi wala hauna kaburi...

Ntapika makulati niwaletee vipenzi vyangu huko wafurahi.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu hivi unapomtaja Mwenyez Mungu ukimix na hizi nyimbo za mapepo unamtendea haki kweli? Um not extremist in religion ila mambo ya kidunia ni heri yakawa ya kidunia bila kumhusisha Allah

Mmh weye unayako ya kumtafuta MziziMkavu. Sioni sababu ya wewe kuandika ulichoandika na kusema hivyo amtumiaje Mungu.

Ungepita tu
 
Last edited by a moderator:
Shukrani sana farkhina ubarikiwe kila ukitakacho 2014 kifanikiwe maradufu tena kwa kiwango cha juu kabisa.

Amina....tubarikiwe sote..

Kila neema na mafaniko yawe pamoja nasi..

Na kila ya aina ya mabaya na mitihani ya dunia ituepuke..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom