Asante Mkuu BAK umenikonga moyo wangu... nakutakia mafanikio mema katika mwaka 2014!!!!!!
Daah aisee una moyo mkubwa weye heheheheachana na Paw wewe!! mtu mwenyewe hajui hata kubembeleza!! sauti mikwaruuuzo kama nini!
yeye kidogo tu kakupiga ban!
mimi walah! hio mambo sina! ntakulisha, ntakuogesha na stage mpya ntakununulia!
Hahahahahahahaha asante dear kumbe wewe ulishaga adhimisha siku nyingi. Nakutakia sikukuu njema na Mungu awabariki wote wa familia yako na wanaoizunguka nyumba yako.nipo pacha.....
wiki ya xmas nilikuwa break ya mtandao, lol!
mwenzio hiyo sherehe ya kuikana empty wallet niliiadhimisha mwaka 1999, nilipoingia 2000 ni full wallet........ sina haja ya kuiadhimisha tena.
Nikutakie heri ya mwaka mpya pia my dearest pacha
Amina my dearest....Hahahahahahahaha asante dear kumbe wewe ulishaga adhimisha siku nyingi. Nakutakia sikukuu njema na Mungu awabariki wote wa familia yako na wanaoizunguka nyumba yako.
ha haaa, nimeuona mkwara, lol!Daah aisee una moyo mkubwa weye hehehehe
Ile kitu ya mtu kwenda maliwato kufanya PEE, wanatoa dagaa tena kwa rivas siyo story ujue.
Just DARE more kisha next step unahamia JF Dokta kusaka solution ya kitakachojiri.
nawe pia na familia yakoasante mwaya kunikaribisha nakutakia mwaka mpya mwema wewe na familia yako
Yaani hii thread imenifanya nimekodoa macho maana nasikiliza nyimbo zote za humu kuania ya kwanza hadi ya mwisho.
Hope 2014 will be good to me.
Vipi ushaandaa madebe ya kupiga ikifika saa sita na dk 1. Hapa mimi nshaandaa nausubiri mwaka mpya kwa hamu kubwaAmina my dearest....
kwako pia na familia yako.
ha haaa, mwenzio siku hizi naishi uzunguni, no madebe.....Vipi ushaandaa madebe ya kupiga ikifika saa sita na dk 1. Hapa mimi nshaandaa nausubiri mwaka mpya kwa hamu kubwa
Hahahahahahahahaha lkn unakosa vingi huku kitaani kuna raha yake huko uzunguni kila mtu kivyake hata debe hampigi . Basi huku kwetu full kujiachia tena ukikaa vibaya unaweza kupigwa jiwe si unajua excitement ya kuuona mwaka mpyaaaaa.ha haaa, mwenzio siku hizi naishi uzunguni, no madebe.....
si nilikuambia sherehe ya full wallet niliifanya 1999?
ha haaa, enjoy my dear.....Hahahahahahahahaha lkn unakosa vingi huku kitaani kuna raha yake huko uzunguni kila mtu kivyake hata debe hampigi . Basi huku kwetu full kujiachia tena ukikaa vibaya unaweza kupigwa jiwe si unajua excitement ya kuuona mwaka mpyaaaaa.
Daah aisee una moyo mkubwa weye hehehehe
Ile kitu ya mtu kwenda maliwato kufanya PEE, wanatoa dagaa tena kwa rivas siyo story ujue.
Just DARE more kisha next step unahamia JF Dokta kusaka solution ya kitakachojiri.