6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,508
- 2,876
Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".
hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo kutokana na mapato watakayopata kupitia monetization/adsense.
Je ni kweli na tayari watumiaji wameshaanza kuona mabadiliko ya makato?
Nawaza hapa itakuwaje?
YouTube wachukuwe percent zao 15%~(sina uhakika nimeshau)*
U.S Nao wakuktate 30% ya mapato
Na makato wakati wa kutoa huyo pesa .
Karibuni wadau mnalizungumziaje swala hili.
Je, unaweza kuanzisha YouTube channel na kui monetized kutengeneza pesa kwa kutegemea ads?
Je, bado ni biashara nzuri kwa sasa , ukizingatia inahitaji uwekezaji wakutosha katika bifaa vya production / knowledge na time?