Kwa YouTube content creators na wanaomiliki YouTube channel ni kweli U.S imepeitisha sheria ya kodi kwa raia wa nchi zingine pia 30% Tax ?

6WaS9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
2,426
2,784
Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".

hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo kutokana na mapato watakayopata kupitia monetization/adsense.

Je ni kweli na tayari watumiaji wameshaanza kuona mabadiliko ya makato?

Nawaza hapa itakuwaje?
YouTube wachukuwe percent zao 15%~(sina uhakika nimeshau)*
U.S Nao wakuktate 30% ya mapato
Na makato wakati wa kutoa huyo pesa .

Karibuni wadau mnalizungumziaje swala hili.

Je, unaweza kuanzisha YouTube channel na kui monetized kutengeneza pesa kwa kutegemea ads?

Je, bado ni biashara nzuri kwa sasa , ukizingatia inahitaji uwekezaji wakutosha katika bifaa vya production / knowledge na time?
 
Inasemekana Marekani wameshauri ambao hamtaki muamie kwa Kagame 😅 Rwanda
 
Kwasasa Unakatwa 30% ya kodi kwenye revenue uliyopata kutokana na traffic ya Marekani.
 
Ni kweli imeanza,na mwezi huu watu wamekatwa hela,na kama upo nje ya marekani,unakatwa 30% kwenye hela uliyopata kupitia watazamaji waliopo marekani.
So watazamajai walio geographical area tofauti na U.s , mfano TZ / norway hukatwi mapato yake yatokanayo na views?
 
Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".

hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo kutokana na mapato watakayopata kupitia monetization/adsense.

Je ni kweli na tayari watumiaji wameshaanza kuona mabadiliko ya makato?

Nawaza hapa itakuwaje?
YouTube wachukuwe percent zao 15%~(sina uhakika nimeshau)*
U.S Nao wakuktate 30% ya mapato
Na makato wakati wa kutoa huyo pesa .

Karibuni wadau mnalizungumziaje swala hili.

Je, unaweza kuanzisha YouTube channel na kui monetized kutengeneza pesa kwa kutegemea ads?

Je, bado ni biashara nzuri kwa sasa , ukizingatia inahitaji uwekezaji wakutosha katika bifaa vya production / knowledge na time?
Anza kufikiria vyanzo vingine vya mapato, usitegemee tu ads utakufa njaa.
 
Hata freelancing sites zinafanya hivyo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom