Kwa watumiaji wenzangu wa vyumba self

Kwa watumiaji wenzangu wa vyumba self

Sijapata ona moyo wente vyumba vingi kama wako yaan hadi spair tair yake ipo na stoo humo humo
Hivi nawezaje kukusahau kwa mfano? Ni vile hujui tu... Huu moyo wangu umebemendwa juu yako
 
Usijali nimeweka pazia la kiroba cha unga wa azam hakuna anayeonaanayeona sembuse kutusikia
Haya ndo baadhi ya mambo nayokupendeaga sasa.

Afu mbona nilipoenda gerezani hukuja kunisalimia kunipa haki yangu ya pole?
 
Habari wanajamvi...

Tuliozaliwa miaka hiyo tunajua zamani ilikuwa adimu sana..lakini sasa hivi karibu kila nyumba choo kipo ndani, ubaya zaidi wengine nyumba zao ndogo hawazingatii ramani..mwishowe unakuta ameeka choo self mbili moja ipo sebuleni kabisa
.nlikua nauliza unajiskiaje unapoenda toi kukata gogo halafu toi haipo mbali na sebule or sehemu walipokaa wenzio...wanafaidi harufu tu!?

Au ile self contained nyingine ipo chumbani..hasa kwa wenza..
huwa hubugudhiki na harufu ya dude analotoa mwenzio huko chooni au principle ni ile kujikaza na kukausha as if hakuna harufu mbaya inayokukera?

Mi mwenzenu siwezi, nina aibu mnoo na pia piga ua nitajibana tu hadi watu wakiwa hawapo ndo naingia kufanya yangu.

Labda choo ndani kiwe mbali na sebule na pia mlango uwe tight kuzuia harufu la sivo najitahidi kufanya fasta then dude likianguka tu navuta kamba kunaflash fasta ndo naendelea na shughuli ya kujisafisha niflash tena.
Nilijua self za guesthouse loh

Napita tu
 
Tumefanana tabia, mi siwezi kuingia toi kama kuna watu yani huwa najihisi noma siwezi....
Kuhusu kukaa na mwenzi, ukimzoea inakua kawaida enzi hizo nlikua napata tabu mno kuingia toi anione
 
Tumefanana tabia, mi siwezi kuingia toi kama kuna watu yani huwa najihisi noma siwezi....
Kuhusu kukaa na mwenzi, ukimzoea inakua kawaida enzi hizo nlikua napata tabu mno kuingia toi anione
Vipi kwenye kutoa hewa chafu??? Unatoa hewa chafu mbele ya mwezi wakooo????!!!
 
Aaah starehe nyingine wala sio za kujibana bana,hakuna mwanadam asiiyeenda toy. [HASHTAG]#Katagogo[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom