Kwa watumiaji wenzangu wa vyumba self

Kwa watumiaji wenzangu wa vyumba self

Hata mimi napataga shida pale ambapo,Nakata gogo alafu inatoka na Sauti. Uwa balaa asee. Na ukizingatia kuna wageni sebureni.
kweli aisee..halafu ukitoka utaona sura zao zimekereka..mpk baada ya muda
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nataman kufunguka basi tu. Umenikumbusha kituko kimoja. Sijui tuna ka ujiran
Hebu funguka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ilisha wahi nitokea mitaa fulan ya kinondoni tumbo gafla limenivuruga nikaingia nyumba ya watu hata siwajui kulikuwa na watoto wakali wa kiarabu uhani lakn nilijifanya siwani nikaelekezwa cho hicho apo yaani ilikuwa ni balaaa hayo mashuzi utadhani North korea anatest Nuclear zake nilivyotoka ndo nikaanza ona aibu watoto wazuri wakaanza nipa pole Haki ya nan nilibadili hiyo njia mpaka kesho sijawahi pita hiyo njia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi mbona sioni aibu kupupu kwani hao watakaosikia harufu huwa hawapupu..... Tena Mimi huwa napenda kupupu sana pale bae anapooga maana bafu lipo na choose hapo hapo so Mimi nashusha vitu vyangu yeye akioga
Duuuuu!!!!!! Hiyo nomaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji23] mbavu zanguuu
 
Mi mbona sioni aibu kupupu kwani hao watakaosikia harufu huwa hawapupu..... Tena Mimi huwa napenda kupupu sana pale bae anapooga maana bafu lipo na choose hapo hapo so Mimi nashusha vitu vyangu yeye akioga
Mkiweza kuvumiliana milio ya bunduki za rashasha na magogo mazito kama mti wa mvule, huo uhusiano utatenganishwa na kifo tu!!!!!
 
Habari wanajamvi...

Tuliozaliwa miaka hiyo tunajua zamani ilikuwa adimu sana..lakini sasa hivi karibu kila nyumba choo kipo ndani, ubaya zaidi wengine nyumba zao ndogo hawazingatii ramani..mwishowe unakuta ameeka choo self mbili moja ipo sebuleni kabisa
.nlikua nauliza unajiskiaje unapoenda toi kukata gogo halafu toi haipo mbali na sebule or sehemu walipokaa wenzio...wanafaidi harufu tu!?

Au ile self contained nyingine ipo chumbani..hasa kwa wenza..
huwa hubugudhiki na harufu ya dude analotoa mwenzio huko chooni au principle ni ile kujikaza na kukausha as if hakuna harufu mbaya inayokukera?

Mi mwenzenu siwezi, nina aibu mnoo na pia piga ua nitajibana tu hadi watu wakiwa hawapo ndo naingia kufanya yangu.

Labda choo ndani kiwe mbali na sebule na pia mlango uwe tight kuzuia harufu la sivo najitahidi kufanya fasta then dude likianguka tu navuta kamba kunaflash fasta ndo naendelea na shughuli ya kujisafisha niflash tena.
Self yako ina choo cha shimo ?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nataman kufunguka basi tu. Umenikumbusha kituko kimoja. Sijui tuna ka ujiran
Ukifunguka unitag tafazali
 
Back
Top Bottom