Kwa watumiaji wenzangu wa vyumba self

Kwa watumiaji wenzangu wa vyumba self

AAHAHAHAHA MKUU MIMI BINAFSI NAJISIKIA RAHA NIKIKATA GOGO HUKU HARUFU YANGU WAKIIPATA MUBASHARA BILA CHENGA.
SASA UKINYA WAKATI WATU HAWAPO HAINA MVUTO...
NIKITOKA CHOONI DIRECT SEBULENI HUKU NIMEJITUNISHA KAMA HAKUNA LILILOTOKEA.. TEH!

NB: ILA KUNA WATU WANA USHUZI MKALI, UNAWEZA KUPATA MAFUA YA KIMAKINIKIA GHAFLA AU VIDONDA VYA TUMBO.
hahhaaha...we kauzu.
mimi naenda kujichimbia room au natoka nje nipigwe na upepo kwanza[emoji23]
 
Hizi ramani za nyumba hizi, kuna aliyejenga Boko ameweka ceiling fans mpaka ckooni, rangi kama Christmas tree. Anataka kupangisha amepata mteja mzungu, mzungu kuona ceiling fan choo I alichoka mwenyewe
 
[emoji23] [emoji23] ilikuwa kwa ajili ya air cooling ...kwa harufu yako mwenyewe tu unaweza suffocate
 
Sintosahau Demu Wangu Angie Alikua Anakaa Nyumba Kila Chumba Kina Choo Ndani. Alivoingia Ilinibidi Nikajifanya Naenda Kununua Vocha. I Felt Dying Sio Dying Kuzimia Kizunguzungu Na Kipandauso Muda Huohuo.....
 
Self nazo huwa zinahitaji mlango. Yaani harufu ipite mlango wa chooni, then wa chumbani hadi sebuleni. Hilo kimba lako ni la kiwango cha Lami.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Sintosahau Demu Wangu Angie Alikua Anakaa Nyumba Kila Chumba Kina Choo Ndani. Alivoingia Ilinibidi Nikajifanya Naenda Kununua Vocha. I Felt Dying Sio Dying Kuzimia Kizunguzungu Na Kipandauso Muda Huohuo.....
[emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji134] [emoji13]
wengine hawajistukii kabisa yani..
.
 
Sema nahisi moja ya sababu ya wanandoa wengi kuchokana ni hio ya kunukishana harufu za mavi unakuta siku una mastresa usingizi hauji unasikilizia mashuzi ya wife huku anakoroma bahati mbaya mashuzi yenyewe ni yale ya vyakula vya kishua mixture nyamanyama mayai lazma mchokane tuu but ushuzi wa mchepuko mpka ubahatishe ni issue hivyo sio rahis mchoka
 
Tatizo wengi wanakosea kwenye ramani za nyumba zao. Kwa vile wengi wetu tuna uwezo mdogo, viwanja vidogo, tunajenga compact houses ambazo huleta hizo karaha.

Ukiwa na self contained room, dressing room then ndio uende bathroom, choo kinakuwa mbali kidogo na room.

Lakini unakuta unapoweka kichwa kitandani ndio mlango wa toi ulipo, utachezea harufu hadi ukome[emoji16] [emoji16]
 
Eti unajibana

Hujawahi kuendesha?
Usiombe ikakutokea tumbo likachafuka na kuanza kurusha taka pembezoni ukiwa safarini yaani labda iwe na usafiri wako ila ikowa isafiri wa jumuiya hahaaaa..... uuuwiiiiiiiii
 
Tatizo wengi wanakosea kwenye ramani za nyumba zao. Kwa vile wengi wetu tuna uwezo mdogo, viwanja vidogo, tunajenga compact houses ambazo huleta hizo karaha.

Ukiwa na self contained room, dressing room then ndio uende bathroom, choo kinakuwa mbali kidogo na room.

Lakini unakuta unapoweka kichwa kitandani ndio mlango wa toi ulipo, utachezea harufu hadi ukome[emoji16] [emoji16]
fact...
 
Back
Top Bottom