Kwa watumiaji wenzangu wa vyumba self

Kwa watumiaji wenzangu wa vyumba self

Eti unajibana

Hujawahi kuendesha?
Usiombe ikakutokea tumbo likachafuka na kuanza kurusha taka pembezoni ukiwa safarini yaani labda iwe na usafiri wako ila ikowa isafiri wa jumuiya hahaaaa..... uuuwiiiiiiiii
nliwah endesha usiku mzima kwa ndugu angu..mpk asubuhi waliisoma namba kwa harufu....halafu room ya mume na mke ipo karibu na choo..nikijiuliza nimekula nini kibaya sipati jibu..ilikuwa aibu...
 
hahahahahahahah najidai nafungulia shower kwenye empty bucket itapiga kelele flan hiyo unatengeneza fujo flan ya maji incase ukijamba wasisikie iko sanaaa hiyo ukimaliza unapouliza freshener unatoaka wala hakuna harufu ila usiombe ukawa umekula mixture ya marosoroso kibao utaipenda hata upulize nini, ok next time wakat unaunga mboga au kinapikwa chochote chenya haruf kali wewe kunya hawatastuka
 
hahaaha...like me.
nafungulia maji kuepusha sauti isifike..
 
Ilisha wahi nitokea mitaa fulan ya kinondoni tumbo gafla limenivuruga nikaingia nyumba ya watu hata siwajui kulikuwa na watoto wakali wa kiarabu uhani lakn nilijifanya siwani nikaelekezwa cho hicho apo yaani ilikuwa ni balaaa hayo mashuzi utadhani North korea anatest Nuclear zake nilivyotoka ndo nikaanza ona aibu watoto wazuri wakaanza nipa pole Haki ya nan nilibadili hiyo njia mpaka kesho sijawahi pita hiyo njia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata mimi napataga shida pale ambapo,Nakata gogo alafu inatoka na Sauti. Uwa balaa asee. Na ukizingatia kuna wageni sebureni.
 
Aahahahaha mkuu mimi binafsi najisikia raha nikikata gogo huku harufu yangu wakiipata mubashara bila chenga.
Sasa ukinya wakati watu hawapo haina mvuto...
Nikitoka chooni direct sebuleni huku nimejitunisha kama hakuna lililotokea.. Teh!

Nb: Ila kuna watu wana ushuzi mkali, unaweza kupata mafua ya kimakinikia ghafla au vidonda vya tumbo.
Haaaaaaa! mna viuko nyie. Ndiyo maana nikiwa na msongo natinga huku.
 
Mi mbona sioni aibu kupupu kwani hao watakaosikia harufu huwa hawapupu..... Tena Mimi huwa napenda kupupu sana pale bae anapooga maana bafu lipo na choose hapo hapo so Mimi nashusha vitu vyangu yeye akioga
halalamiki[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom