Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
Habari wanajamvi...
Tuliozaliwa miaka hiyo tunajua zamani ilikuwa adimu sana..lakini sasa hivi karibu kila nyumba choo kipo ndani, ubaya zaidi wengine nyumba zao ndogo hawazingatii ramani..mwishowe unakuta ameeka choo self mbili moja ipo sebuleni kabisa
.nlikua nauliza unajiskiaje unapoenda toi kukata gogo halafu toi haipo mbali na sebule or sehemu walipokaa wenzio...wanafaidi harufu tu!?
Au ile self contained nyingine ipo chumbani..hasa kwa wenza..
huwa hubugudhiki na harufu ya dude analotoa mwenzio huko chooni au principle ni ile kujikaza na kukausha as if hakuna harufu mbaya inayokukera?
Mi mwenzenu siwezi, nina aibu mnoo na pia piga ua nitajibana tu hadi watu wakiwa hawapo ndo naingia kufanya yangu.
Labda choo ndani kiwe mbali na sebule na pia mlango uwe tight kuzuia harufu la sivo najitahidi kufanya fasta then dude likianguka tu navuta kamba kunaflash fasta ndo naendelea na shughuli ya kujisafisha niflash tena.