Kwa watumiaji wenzangu wa vyumba self

Kwa watumiaji wenzangu wa vyumba self

Tumefanana tabia, mi siwezi kuingia toi kama kuna watu yani huwa najihisi noma siwezi....
Kuhusu kukaa na mwenzi, ukimzoea inakua kawaida enzi hizo nlikua napata tabu mno kuingia toi anione
Pole sana,naona una aibu na maumbile ya ubinadam wetu, [HASHTAG]#Looseyourself[/HASHTAG]
 
Ilisha wahi nitokea mitaa fulan ya kinondoni tumbo gafla limenivuruga nikaingia nyumba ya watu hata siwajui kulikuwa na watoto wakali wa kiarabu uhani lakn nilijifanya siwani nikaelekezwa cho hicho apo yaani ilikuwa ni balaaa hayo mashuzi utadhani North korea anatest Nuclear zake nilivyotoka ndo nikaanza ona aibu watoto wazuri wakaanza nipa pole Haki ya nan nilibadili hiyo njia mpaka kesho sijawahi pita hiyo njia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari wanajamvi...

Tuliozaliwa miaka hiyo tunajua zamani ilikuwa adimu sana..lakini sasa hivi karibu kila nyumba choo kipo ndani, ubaya zaidi wengine nyumba zao ndogo hawazingatii ramani..mwishowe unakuta ameeka choo self mbili moja ipo sebuleni kabisa
.nlikua nauliza unajiskiaje unapoenda toi kukata gogo halafu toi haipo mbali na sebule or sehemu walipokaa wenzio...wanafaidi harufu tu!?

Au ile self contained nyingine ipo chumbani..hasa kwa wenza..
huwa hubugudhiki na harufu ya dude analotoa mwenzio huko chooni au principle ni ile kujikaza na kukausha as if hakuna harufu mbaya inayokukera?

Mi mwenzenu siwezi, nina aibu mnoo na pia piga ua nitajibana tu hadi watu wakiwa hawapo ndo naingia kufanya yangu.

Labda choo ndani kiwe mbali na sebule na pia mlango uwe tight kuzuia harufu la sivo najitahidi kufanya fasta then dude likianguka tu navuta kamba kunaflash fasta ndo naendelea na shughuli ya kujisafisha niflash tena.
Panga nyumba nzuri acha ubahili
 
Tatizo ni pale umekula kwa mama ntilie alafu tumbo imezingua ukazama toilet unahis kitu kinagonga ukiruhusu tu mid na base linasikika hadi sebulen ukweni hahaaaaa ni mwendo wa stopa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari wanajamvi...

Tuliozaliwa miaka hiyo tunajua zamani ilikuwa adimu sana..lakini sasa hivi karibu kila nyumba choo kipo ndani, ubaya zaidi wengine nyumba zao ndogo hawazingatii ramani..mwishowe unakuta ameeka choo self mbili moja ipo sebuleni kabisa
.nlikua nauliza unajiskiaje unapoenda toi kukata gogo halafu toi haipo mbali na sebule or sehemu walipokaa wenzio...wanafaidi harufu tu!?

Au ile self contained nyingine ipo chumbani..hasa kwa wenza..
huwa hubugudhiki na harufu ya dude analotoa mwenzio huko chooni au principle ni ile kujikaza na kukausha as if hakuna harufu mbaya inayokukera?

Mi mwenzenu siwezi, nina aibu mnoo na pia piga ua nitajibana tu hadi watu wakiwa hawapo ndo naingia kufanya yangu.

Labda choo ndani kiwe mbali na sebule na pia mlango uwe tight kuzuia harufu la sivo najitahidi kufanya fasta then dude likianguka tu navuta kamba kunaflash fasta ndo naendelea na shughuli ya kujisafisha niflash tena.
Puu yako inanuka sana, kula mchicha
 
Back
Top Bottom