Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Jamani siwezi pata mchumba humu nimevutiwa kweli na ushauri mnaochangia huu Uzi.
 
Kuna wakati nawahurumia sana walioolewa Mimi sijaolewa ila nikiangalia nilivotendwa naumia sana nawaza hivi ndoa je pia inakera hii mume Wa mtu anakutongoza unamwambia wewe unamke Mimi wanitaka wanini sasa napowazalau Wanaume wanaanza kuongea mapungufu yamkewe jibu duh ata Mimi namapungufu zaid ya mkeo sasa wee kaangalie pengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Dada mmoja alinishangaza yule nilisema siku akisikia mumewe anamsaliti watu watamzika kuna post kama kunawatakaomkumbuka eti ameolewa anawatoto Wa 2 yeye hapendi kuona mumewe analia shida huwa anamsaidi sasa kilichonishangaza aliposema mume wangu hawez kunisaliti never ananipenda ujue nilitafakari nikasema dunia hii unaongea kwakujiamini muombe Mungu akusaidie

Unaweza mshangaa, lakini kama mke anayejua wajibu wa kuwa mke hawez weka udhaifu wa mumewe hadharani, hawezi sema kuwa mume wangu ananisaliti

Sababu kakaa katika nafasi ya mke na anajua kuuficha udhaifu wa mumewe,

Tukiangalia abigail na nabal,
Nabali alikuwa mume mume mpumbavu lakini ona abigail alivyo mtetetea mume wake mbele ya Daudi,
Msamehe mume wangu kwani aliyatenda haya yote kwaajil ya upumbavu

Akasema msamehe, alibeba udhaifu wa mumewe na kumuombea msamaha kwa niaba na Daud akamsamehe hakumuua

Hakwenda mikono mitupu alienda na vitu vingi niviite zawad au sadaka ili mume asamehewe.

Mwanamke alikuwa mwerevu na mume mpumbavu lakin mke alijua ku cover upumbavu wa mumewe

Kama angekuwa mke asiyejua wajibu wake katika nafasi ya ulinz kwa kumuombea na yeye angekuwa mpumbavu angemwambia tu Daudi muue ni mpumbavu huyu, kanichosha na kwel angekufa

Lakin abigail alijua udhaifu wa mumewe na alijua kuubeba na kumtetea.

Hivyo usishangae kuona mwanamke anamtetea mume mbele za watu, ni wajibu wake

Ila akiwa ndani anajua jinsi ya kusolve.

Sitetei wanaume ila naelezea kuwa kama mke mlinzi juu ya ndoa yako.

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Jambo limezua jambo
Daaah kweli wanawake mitihani,,,navomuheshim mamthamini haasa kama shemej yangu
Nikimuona ni mnyenyekevu very inoccent ukizingatia mke wa mtu na mashallah mme wake haskii haoni kila atakacho mkewe kapewa.
Ghafla bin vuuu!!!! Kisa Mama wtt wangu kenda kwao na kupeleka wanao kwa bibi yao vile likizo ya eid
Ohhh shem lazma tutoke eid night pamoja[emoji1317]looong time was waiting 4 dis golden chance
Baada ys kuipata hio SMS nliingia mitini na sirudi kwangu hadi J3 wifi yenu akirudi toka kwao
Kweli enyi wanawake mungu anawaona
 
Ila wanaume laiti mngelijua mnavyo-risk maisha ya wake na watoto wenu na hata maisha yenu pia kutokana tu na michepuko yenu, kwa kweli msingejilegeza kuwa nyie kuchepuka ni lazima.

•Mnatuletea magonjwa huko jamani (sijamaanisha kuwa wanawake hatuleti magonjwa). Mara nyingine Mungu anatupigania, mnachepuka hadi mnahamia huko, mnapata migonjwa yenu, but at the end of the day mnarudi kwa wake zenu, na ndo wanaowabadilisha nepi hadi mnakufa

• Michepuko mingine ni washirikina dunia nzima. Utainamishwa weee hadi utasahau kama una mke na watoto. Watoto watateseka kwa kukosa huduma as if hawana baba. We umekomaa tu kumneemesha mchepuko. Mwingine atataka akumiliki kabisa, so ataenda extra miles atake kumtoa roho mkeo ili abaki yeye (hapa nina ushuhuda heavy). Hujaweka maisha ya mkeo rehani? Mkeo akifa huyo mchepuko atawalea wanao vizuri?

•hizo hela unazohonga michepuko hadi unasahau familia, zisingetumika kuimprove maisha ya familia yako? Wangapi wanawanufaishaa michepuko afu mwisho wa siku wanaachwa tu na suruali zao, kwa aibu wanarudi kwa wake zao hawana chochotee

Mie sio mtakatifu jamani, but naamini Mungu pekee ndo anayeweza kukuchungia mumeo. Tusugue magoti kwa ajili ya waume zetu, kila mtu kwa imani yake. Afu maombi pia yatakulinda dhidi ya adui zako, ikitokea mumeo kachepuka kweli. Yani mchepuko akikupa skadi linarudi fastaaa, inaitwa "GO BACK TO SENDER". Wanaume na nyie mjiombee, msije mkaingia majaribuni. Sio kujiendekeza tu oooh its our nature kucheat eeh
Best female comment ever......in 2014
 
Kuna wakati nawahurumia sana walioolewa Mimi sijaolewa ila nikiangalia nilivotendwa naumia sana nawaza hivi ndoa je pia inakera hii mume Wa mtu anakutongoza unamwambia wewe unamke Mimi wanitaka wanini sasa napowazalau Wanaume wanaanza kuongea mapungufu yamkewe jibu duh ata Mimi namapungufu zaid ya mkeo sasa wee kaangalie pengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeeeh
Hatari hatari
Eti.Mara mke wangu haendi Na wakati
Aiseee!
Kuna wanaume Ni Bomu la Korea kusini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Dada mmoja alinishangaza yule nilisema siku akisikia mumewe anamsaliti watu watamzika kuna post kama kunawatakaomkumbuka eti ameolewa anawatoto Wa 2 yeye hapendi kuona mumewe analia shida huwa anamsaidi sasa kilichonishangaza aliposema mume wangu hawez kunisaliti never ananipenda ujue nilitafakari nikasema dunia hii unaongea kwakujiamini muombe Mungu akusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Wanawake wa hivyo.Ndo wanasalitiwa sana.
How uweke yamini eti mume wangu hawezi Nisaliti
Hivi anawajua hawa wakina Asprin au anawasikia?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza mshangaa, lakini kama mke anayejua wajibu wa kuwa mke hawez weka udhaifu wa mumewe hadharani, hawezi sema kuwa mume wangu ananisaliti

Sababu kakaa katika nafasi ya mke na anajua kuuficha udhaifu wa mumewe,

Tukiangalia abigail na nabal,
Nabali alikuwa mume mume mpumbavu lakini ona abigail alivyo mtetetea mume wake mbele ya Daudi,
Msamehe mume wangu kwani aliyatenda haya yote kwaajil ya upumbavu

Akasema msamehe, alibeba udhaifu wa mumewe na kumuombea msamaha kwa niaba na Daud akamsamehe hakumuua

Hakwenda mikono mitupu alienda na vitu vingi niviite zawad au sadaka ili mume asamehewe.

Mwanamke alikuwa mwerevu na mume mpumbavu lakin mke alijua ku cover upumbavu wa mumewe

Kama angekuwa mke asiyejua wajibu wake katika nafasi ya ulinz kwa kumuombea na yeye angekuwa mpumbavu angemwambia tu Daudi muue ni mpumbavu huyu, kanichosha na kwel angekufa

Lakin abigail alijua udhaifu wa mumewe na alijua kuubeba na kumtetea.

Hivyo usishangae kuona mwanamke anamtetea mume mbele za watu, ni wajibu wake

Ila akiwa ndani anajua jinsi ya kusolve.

Sitetei wanaume ila naelezea kuwa kama mke mlinzi juu ya ndoa yako.

In ua Presence Jesus is where I belong
Kama Ni kwa muktadha huu sawa.
Ila wapo wanaopita masalon Na kujinasibu..Mume wangu kila.Mara Zawadi ananifikisha huyooohajawai saliti
Weeee weeee Tena mate chini
Ila.kama Ni kumfichia Aibu sawa.
Hapo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo limezua jambo
Daaah kweli wanawake mitihani,,,navomuheshim mamthamini haasa kama shemej yangu
Nikimuona ni mnyenyekevu very inoccent ukizingatia mke wa mtu na mashallah mme wake haskii haoni kila atakacho mkewe kapewa.
Ghafla bin vuuu!!!! Kisa Mama wtt wangu kenda kwao na kupeleka wanao kwa bibi yao vile likizo ya eid
Ohhh shem lazma tutoke eid night pamoja[emoji1317]looong time was waiting 4 dis golden chance
Baada ys kuipata hio SMS nliingia mitini na sirudi kwangu hadi J3 wifi yenu akirudi toka kwao
Kweli enyi wanawake mungu anawaona
Haaa haaaa tutaaminije??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom