Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Umeona! Adui wa mwanamke no.1 ni mwanamke mwenyewe. Nimefuatilia comments zote kwenye hii thread ila naona hili hawalifikirii. Focus zaidi imekuwa kwa mwanamme. Mwanaume hana ujanja bila ya mwanamke kukubali. Ingekuwa vizuri hili jambo waliangalie katika angles zote kwa maana ya roles ya mwanamke na mwanaume katika uchepukaji. Kwasababu wameegemea upande mmoja itakuwa ngumu kupata majibu ya maswali yao.

Pili hapa inaonekana kama wanaume ndo wachepukaji ingawa uzoefu unaonyesha hili tatizo nalo liko upande wa KE. Na wanaume wanalalamika kama wao wanavyolalamika.

Jambo la kuwashauri wanawake bila kuwa biased ni kwamba kuchepuka kwa mwanaume kunaweza kuwa na vyanzo viwili. Moja ni sababu inayotokana na mke na nyingine ni ya mwanaume mwenyewe kutokana na kushindwa kudhibiti matamanio.

Nikianza na sababu zinazotokana na mwanamke, wanawake wanapokuwa wameolewa hujisahau na kuona wamefika. Yale yote waliyokuwa nayo kabla ya ndoa hutoweka na kuona mume walishampata hawana haja ya kumuhangaikia. Hapa tatizo ndo linapoanzia. Wengine utakuta wanashindwa majukumu yao kwa mume na wakijaribu kurekebishwa huwa mbogo na wakati mwingine kumwabia mume ndo nilivyo. Hawawezi kufanya hata kazi ndogo ndogo za nyumbani na kutaka kila kitu wafanyiwe na wasichana wa kazu. Mwingine kama anafanya kazi atataka kuwa sawa na mwanaume na kutaka ku-dictate mambo ya nyumbani bila kujua kwamba hilo kwa mwanaume ni issue zaidi ya wanawake wengi wanavyofikiri. Wanawake wengine wanataka kuishi maisha ya kuigiza wanayoyaina kwenye tamthilia , n.k. Haya yote na mengine taratibu huanza kumfanya mwanaume kukuchoka. Na baadae atatafuta mbadala wako.

Pili wanaume by nature ni wadhaifu na mwanaume anapenda kwa kuona tofauti ilivyo kwa nwanamke ambaye yuko kihisia zaidi. Hii inaelezwa na jinsi mwanamke anavotumia muda mwingi zaidi ili kuleta mvuto kwa jinsia ya ME. Hiyo ni asili na huwezi izuia.

Wanaume wengine wana nguvu nyingi za kiume na mwanamke mmoja anaweza asimridhishe. Hili likichagiwa na mavazi ya siku hizi ya wanawake nalo limechangia sana kuamsha hisia za wanaume walio wengi.

La kufanya ni mwanamke kufanya sehemu yako kikamilifu ingawa bado hiyo haitamzuia mwanamke kuchepuka. Unaweza kuwa na strategy ya kupunguza uwezekano wa kupunguza vishawishi vya mwanaume kama vile kuwa naye sehemu ambazo si salama kwa ndoa yako. Hata hivyo mengine itabidi kumuachia muumba maana siyo rahisi kumdhibiti mwanaume kwa 100%.

Sasa hili nalo wanaume wanatofautiana jinsi ya kujizuia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeenda vizuriii ila kuna mahali umeyumba
Kama wanaume wanashindwa kujizuia mbona sijaona wakifanya Sex barabarani.Vichaa wengi umewaona wakijamiiana on the road?
Kumbe kujicontrol kupo kinachotokea ni kupuuza
How can you justify that? The matter here us how you behave, mannerism.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nalo linachangia sana kwa wanaume walio wengi. Lengo la kutochepuka si kwamba wasichana wazuri huwaoni ila unajizuia kumtunzia heshima mkeo. Inapotokea kuwa kila siku ukirudi analianzisha bila ya ushahidi wowote na kibaya zaidi ikawa ni hisia tu zisizo na ukweli, ile kujuzuia kwa kumtunzia heshima inatoweka ghafla.

Sent using Jamii Forums mobile app
Are you serious, please be realistic.
Hayo tu yakufanye uchepuke
Ukimwi je?
Gharama he?
Unadhani Nyumba ndogo zinawaacha salama mifukoni??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nlishateseka saana na hawa viumbe hadi nlianza kutafta ile dawa ya kung'ang'aniana wakati wakiwa wanavunja amri ya 6[emoji1375]
Doohh,,,mwishoe nikaona yanini nipate kipara bila elimu??
Dawa hapa ni kukata mti na kupanda mti tu,,
Hadi leo nipo mstarehhhhh!!!!watu wanalia na utawala wa anko magu
Mindio naona ka utawala wa mzee wa ruxa,,kwa jinsi navojihisiii mwepeeeesiii[emoji1321]
Aisee.
Hapa kazi IPO
Mwogope Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi ni kwa ajili ya wanawake au hujasoma heading? [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We unadhani wangeacha kufungua tena ndo kama nimewaambia fungueni
Wanajua lazima humu tunawatetaaa
Sasa ndo umeona wamekuja bora nisingeiobject

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikusoma vizuri mlangoni jamani nimeingia tu kumbe ni cha kike na mmejazana humu kibao mnatudiscuss sisi.nauliza hao michepuko ambao wanachepuka na ss wanaume ni akina nani kama sio ninyi ninyi mliojazana kwenye hichi choo nilichoingia bila kujua!Hebu chambuaneni wenyewe kwanza kwa maana kadiri mnavyolaumu wanaume ndivyo ninyi mnavyopeana hamasa humu.shida ya mchepuko ni kujipatiamo chochote na mwanaume ni kujipatia kile anachokosa njia kuu..kuchepuka ni kutamu sana iwe kwa mume au mke wote wanapata raha jamani ndio maana inakua hivyo na ikiwezekana hii kitu irasimishwe kabisa kikatiba.asante mie natoka sasa na asanteni kwa kunisikiliza bila kunizodoa.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida IPO hivi
Wewe mwaume ukitulia ndani kwa mkeo Bila kumshawishi kimara Na hela au chochote huyo.kimada atatokea wapi??.
Mfano.Mara nyingi Mimi huwa nawalaumu wanaume kwenye Ohio street, Ambiance ( corner Bar) Sina usiku kuwafuata mavyangudoa
Why..Bila wao kuwafuata kamwe biashara ile isingeshamiri
Umeonaaa??
Mfano unauza viatu.Mwezi nzima Hakuna aliyekuja nunua lazima ukimbie
So men have chances to stop that stupidity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo mnavyo ambizana kuwaombea kuwaombea nao wanachoresha tu, wanafanya makusudi huku wakijua Waifu ananiombea mema! Cha msingi ni kuzungumza mara Kwa Mara na kuambiana ukweli Kwa utulivu na upendo, Mke jitahidi mumeo ajue misimamo yako, ajue huyu nikimzingua Kwenye mambo flani ya kuchepuka hata nielewa, ajue ikibidi uko tayari kuachana nae na kwenda kuishi Kwa kujitegemea mwenyewe! Yani uishi maisha ya kuhararisha uzima alokupa Mungu kwaajili ya Ndoa/mwanaume?[emoji87][emoji87][emoji87] I wish I could be a British one! Mwambie mwanaume kukupenda isiwe tabu bana! Na ikibidi mwambie kuna wenzio huko maofisini n.k wananipenda sijui kutana lakini nawa kataa kwaajili ya kumwogopa Mungu na kukuheshimu Wewe ! Imani pasipo matendo imekufa, yani ukae unamuombea Mtu yeye anakuchora tu kila Siku [emoji87][emoji87][emoji87] sikatai maombi lakini kuambizana lazima kuwepo tena pasipo magomvi, imendikwa " mpende Bwana Mungu wako Kwa moyo wako wote, Kwa nguvu zako zote, Kwa Roho yako yote na Kwa AKILI yako yote! AKILI nayo lazima ifanye kazi!
Aiseee wewe ni Akili njema haaaa
Where have you been all this time
Madini haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom