Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

and one should know the time to stay, walk away and to run...

Ingawa hawa ma star wana run hata pale walipotakiwa ku stay...sijui jeuri ya feza au umaarufu? ndio maana ndoa zao hazidumu kabisa...

Mfano Gabrielle alichitiwa na jamaa yake...japo hawakuwa kwenye ndoa...the girl is humble ndio maana leo ameolewa...
Jamaa inawezekana alikuwa trapped mpaka kuzaa lakini his love for Gabby bado iko pale pale....kwa wanaume sex should not be equated with love... a man can have sex with one lady while his heart is with someone else...

Ndio maana kuna wengine wanakuja wanalia humu nimempa mimba binti nisiyempenda nifanyeje...watu mnashangaa...kumbe yeye alikuwa after sex service....
Yule aliolewa sababu ya pesa hakuna mapenzi msichana ndio anampenda mwanaume penz ni David na ..
 
Mlichokifanya ni sawa na matajiri wanapofanya mkutano wa kuondoa umaskini wakati masikini hawaalikwi kwenye mkutano huo

NA MSISAHAU MNAPOJADILI NA HAO TUNAOCHEPUKA NAO MNAJADILI NAO... HIVYO WAKITOKA HAPO WANARUDI KWETI KUUZA RAMANI YA VITA
Mmmh Kumbe[emoji6] [emoji6] [emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza mshangaa, lakini kama mke anayejua wajibu wa kuwa mke hawez weka udhaifu wa mumewe hadharani, hawezi sema kuwa mume wangu ananisaliti

Sababu kakaa katika nafasi ya mke na anajua kuuficha udhaifu wa mumewe,

Tukiangalia abigail na nabal,
Nabali alikuwa mume mume mpumbavu lakini ona abigail alivyo mtetetea mume wake mbele ya Daudi,
Msamehe mume wangu kwani aliyatenda haya yote kwaajil ya upumbavu

Akasema msamehe, alibeba udhaifu wa mumewe na kumuombea msamaha kwa niaba na Daud akamsamehe hakumuua

Hakwenda mikono mitupu alienda na vitu vingi niviite zawad au sadaka ili mume asamehewe.

Mwanamke alikuwa mwerevu na mume mpumbavu lakin mke alijua ku cover upumbavu wa mumewe

Kama angekuwa mke asiyejua wajibu wake katika nafasi ya ulinz kwa kumuombea na yeye angekuwa mpumbavu angemwambia tu Daudi muue ni mpumbavu huyu, kanichosha na kwel angekufa

Lakin abigail alijua udhaifu wa mumewe na alijua kuubeba na kumtetea.

Hivyo usishangae kuona mwanamke anamtetea mume mbele za watu, ni wajibu wake

Ila akiwa ndani anajua jinsi ya kusolve.

Sitetei wanaume ila naelezea kuwa kama mke mlinzi juu ya ndoa yako.

In ua Presence Jesus is where I belong
Nimependa msg yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ed16417d7a8a54fce3287d85e2d5c078.jpg
 
Hahahaaaaaaaa! Ndo mmefikia hapa wanawake wenzangu? Loooooh! (Siwanangi wenzangu, ninestuka tu!)

Naonaga watu wanaombe boxer za waume zao, mara sijui kupaka mafuta ya mzeituni, ilimradi tu hali si shwari! Hahaaaaaaaaa! Wangejua kina Yuda nao wamo katikati yao kwenye maombi duuuuuuuh!

DAWA KWA YESU TU! Akichepuka tu ataona kama anaweza na kumchepuka Yesu! Akifika huko hana HAMU kabisaaaa! Itaimbiwa mpaka simama dede kitu zzzzzzzzzzzzz! Concious inawaka moto! Sugua goti dada hilo! Oooooooooh! Wake za watu siku hizi jmosi huwakuti majumbani, wapo kwenye MAOMBIIIIII!

Nyumbq ndogo nazo hazikai jmosi, kwenye VILINGE VYA WAGANGAAA! Wanamaliza tu nazi njia panda! Hahahaaaaaaa! Hawakaubali kushindwaaa! Wewe uwe na mume mzuri hivo una nini, yeye adode ana nini? Mtabanana hapo hapo! Anakurushia kimavi hata cheo hupandi, mumeo anakuona big simba wakati uzazi umekuongeza kidogo tu, anakuona bibi yake si bibi yake kumbe midawa ile! Hahaaaa! (Its not a laughing matter!)
Umenena
 
Umeona eeeh sio wote but most of them..( Sijui ni kwa nini Wanawaka tamaa sana)

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kwa kuchungulia humu ila wataalamu wanasema kiwango cha hamu ya kugegeda uliyonayo... mwanaume anayo mara 4 yako. Sasa hapo pata picha ni kwa nini tunawaka tamaa.

But, mie nikikumbuka wanawake niliotembea nao kabla sijao na wachache sana niliotembea nao baada ya kuoa, nimegundua kuwa mke wangu anawazidi wote. Kuanzia utamu wa papuchi, uzuri, busara mpaka upendo kwangu na watoto wetu Wawili. Hivyo sifikiriagi tena kuchepuka kabisa. Sasa nina miaka 2 sijachepuka na namuomba Mungu anisaidie nisichepuke kamwe. Maana hakuna jipya ninalopata nje zaidi ya kero na usumbufu.

Sijaitwa huku..! Ila nashukru maana nimekutana na mtani jembe wangu Lara1...! Kweli Yesu ni BWANA tena siyo vijibwana sisi bali BwAnA wa miujiza.

Lara1 my dear roho ilikuwaga inaniuma nikikuona ulivyokuwa unapotosha wadada na wanawake humu hakika nilitamani siku moja ukutane na YESU yuleyule aliyekutana na PAUL(sauli) Mungu siyo mtume mohamed waka Khalifa akakukutanisha na YeYe(Yesu). Ni ushuhuda mkubwa aisei. Promise nitakuandikia uzi..!
 
Apia Hapa kama hutachepuka tena[emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaitwa huku..! Ila nashukru maana nimekutana na mtani jembe wangu Lara1...! Kweli Yesu ni BWANA tena siyo vijibwana sisi bali BwAnA wa miujiza.

Lara1 my dear roho ilikuwaga inaniuma nikikuona ulivyokuwa unapotosha wadada na wanawake humu hakika nilitamani siku moja ukutane na YESU yuleyule aliyekutana na PAUL(sauli) Mungu siyo mtume mohamed waka Khalifa akakukutanisha na YeYe(Yesu). Ni ushuhuda mkubwa aisei. Promise nitakuandikia uzi..!
Haaa haaaa hivi lara1 yupo??
Aiseee huyu Dada Ni shidaaaaa au Ndo Miss Natafuta??mana mulemule
Nijibuni wajameni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom