Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Huyo ni Malaya Carey tu nimemuelewa kabisa. Wacha avune alichokipanda
Nawajua wa aina hii, mmoja nilimwopoa maeneo ya heshima, na kimuonekano ana viwango tu, baada ya safari ya mail kadhaa nilimtupa kiaina baada ya kugundua kuwa hana thamani niliyohisi anayo.
Kuna siku nilishangaa kuona video yake humu amerushwa akiwa wanapombeka club na anashikwashikwa na kufanyiwa vituko.
Nilijiona foresee
 
Wanawake fanyieni kazi uzi...

Usisite kutuwekea na sisi mkuu tunaotafuta wanawake hapa JF tutumie mbinu gani.
 
Aaah wapi....mie domo zege kelele nyingi tu jukwaani.

Nikifika piemu naishiwa maneno.
Pm zako naziona sana ukiwatongoza au unataka nikuanike?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alafu mwanamke kama huyu ndiye anayetegemewa kuwa mama Bora wa kutunza familia! Imagine!
 
Hapa watu wanafundishwa mbinu za kuwa "MALAYA WATANASHATI"

Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi hizo niliwahi kukaa 777 nikamcheki mdada moja Yuko smart, nikajaribu kumuweka kwenye kumdi la Malaya hakufit nikamuweka kwenye kundi la wastarabu mwisho wa siku nikaja gundua no type ya mleta uzi.

Wakina dada kama mnauza kuweni wazi sio unampotezea mtu mda kumbe wewe ni mdangaji tu.
 
Thamani kubwa ipo ila kwa wale tu wanaojielewa kama waliokuwa mama zetu. Waliangalia maisha kwa upana mkubwa waka invest nguvu ya pamoja na washua zetu kutengeneza maisha, wakatuzaa, kutulea hadi tulipofikia leo hii.

Wanawake wanao thamini teamwork katika maisha na kuamini katika ku raise familia bora wakiwa pamoja na wanaume wenye mtazamo chanya kimaisha hawa ndio naweza sema wanajithamini na kujua purpose yao hapa duniani.

Si wale wanawake wabinafsi na waliojawa tamaa za ajabu na uvivu wa kifikra huku wakiamini kwamba wao hawatakiwi kujishughisha ama kuinvest chochote katika uhusiano bali wavune pesa au mali kupitia jasho la mwanaume katika kivuli cha mapenzi.

Upeo wao wa kufikiria umeishia katika kuamini kwamba papuchi ndio visa ya kujiingiza katika channel ya wanaume wa aina flani ambao hawajali kuhusu chochote kwa mwanamke ila papuchi tu na wanawake hao kutumiwa na kutupwa kama kinga zilizovaliwa kwa hongo ndogo ndogo huku wakijipa moyo eti "Ni nature ya mwanaume kumhudumia mwanamke!"

Stop being stupid women. Basi mtu afanye hayo kwa msukumo wa mapenzi ya kweli mwenye nia ya dhati na wewe either kukuoa na ku raise a family together...unaokotwa golf court kisha ukatiwe na tajiri hoteli ya gharama kisha aku dump halafu unajiona smart! Utakuwa mtumwa wa kimwili mpaka lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]???
Braza unakunywa kinywaji gani?
 
Nafundisha wanawake kuwa na high standards. Wanawake kulalwa hovyo ni aibu na kujiondoa thamani
Hujui unachokiongea. Kuhongwa kunakkufanyaje uwe high standard.

Ninyi ndio wale machangu mnakuja kutusumbua sehemu za starehe. Unakuta unaingia sehemu unakunywa maji kichupa kidogo masaa yote. Kwa taarifa yako wadangaji tunawajua tu. Nikikaa Serena au Hyatt ndani ya lisaa limoja nitakuonesha Nani mdangaji na Nani sio
 
Eti
"The uglier, the older, the better..." Kisa tu kuhongwa

Ha ha ha ha

Haya maisha bwana.

Hivi wanawake kwani hatuna mikono ya kufanyia kazi, tukatafuta hela zetu wenyewe za kujidaia.
Kulingana na mleta mada mikono na ubongo wa wanawake ni ****! Hicho ndio kitendea kazi cha kujiletea maendelo.
 
Toka enzi na enzi mwanamke ana thamani kubwa. Wa siku hizi hawajielewi. Wanalalwa bure. Si sawa. No free p. Mwanaume lazima agharamie. It's nature
Yaani unavyoitukuza **** utafikiri imekuwa oxygen.
Eti no free Pussy🤣🤣🤣🤣🤣 **** zenyewe zimeumuka na kulainika, haziishiwagi harufu, mara nyingi ni visima vya magonjwa etc ndo mnazifanya ndoano za kuvulia pesa inayopatikana kwa jasho?

Kama **** ishavuka miaka 25 no level of manipulation will get it the highest bid.
 
Back
Top Bottom