He.... Ama kweli makubwa.... Yaani malaya uliyekubuhu hadi unaanza wafundisha wenzako tena leo wauliza umalaya ni nini?!Umalaya ni nini?
Wako wapi Kama hawako humu!?Huna hela wewe, wenye pesa zao hawako humu
Sio Umalaya. Ni mapenziKutoa bure si umalaya?
Halafu Ashera ni aina ya uchawi uliokatazwa kwenye Biblia....Wafalme II, 23:4.He.... Ama kweli makubwa.... Yaani malaya uliyekubuhu hadi unaanza wafundisha wenzako tena leo wauliza umalaya ni nini?!
Malaya si ndio kama hapa unaonyesha umalaya wako....
Duh waganga tena? Kama nilivyosema hili game lina wenyewe. Ukiona linakuwia gumu then it's not for you babyKwa kweli tutafanya tu,maana hata nyie mnatokwa jasho kuwahandle hao masponyo mnashinda kwa waganga mpaka dawa wanawapaka kwa kuunganisha vikoleo vyenu na vya mganga au unabisha?? Bado mnafanyiwa vitendo vizito na hao masponyo humo vyumbani,kifupi nyie ni watumwa wa ngono.Hakuna pesa rahisi dada usidanganye umma....na kuwa na mbabu Sio kwamba hutazaa kwa uchungu..unless usizae kabisa
Duh waganga tena? Kama nilivyosema hili game lina wenyewe. Ukiona linakuwia gumu then it's not for you baby
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu wakifika miaka 30 na maisha yao hayana tena maana yapo taabani wakufuate uje uwafundishe namna ya kuondoa laana ya umalaya unayotaka waifanye. Mjaaalaana mkubwa wewe nyokoooooooooo
None of them has ever been close to me.... I grew up as a lone Wolf.I see. Including your family members
Hapa uko sahihi, wanaume naowazungumzia kwa Tanzania ni wachache. So mdada ajiongeze. Akili kumkichwaBahati hiyo ameipata K lyn tu na hajaipata kiurahisi maana Miss Tanzania title sio kila mdangaji anayo na inapatikana kwa ushindani mkubwa pia enzi zake... na kwa seke seke lilitokea ma sponsor wamejanjaruka...
Mwanamke ukitaka maisha mazuri tumia formula ya CEO wa NMB bank dada Ruth Zaipuna ..
Wanaume wadau wameshtuka wanataka win win hata kwa mchepuko awe na kitu cha ziada.. maana papuchi kila mwanamke anayo..
Na utamu wa nchi yetu ya kibantu hii wenye hela wengi ni la saba, wajanja sana...nawaza tu mtu anaenda kumdangia Mo dewji, ama matajiri wa migodini na mabus ya mikoani. Ama waarab wamiliki wa masheli na makampuni kibao kina asas, eti unamdangia laizer
Wako busy kutafuta pesa to impress their ladies. Hawana muda kujibizana kwenye social mediaWako wapi Kama hawako humu!?
Hamna lolote mbele za watu mnajifanya amplay smart ila nyuma ya pazia mna Mambo makubwa...hao masponyo Kuna Mambo wanafanya wakidhani ni akili zao ila kiukweli Mungu anawaona nyie...habari zenu Munalove alishazisimulia kwa wiki mnashinda kwa waganga siku sita Sasa Hilo si nizaidi ya jasho Ashera?Duh waganga tena? Kama nilivyosema hili game lina wenyewe. Ukiona linakuwia gumu then it's not for you baby
Omba Mungu upate binti anayejithamini na kutokukubali kuchakazwa na hawa vijanaImagine mtu Kama huyu anakua ndio mwanao dah what a bad luck,, mpaka naogopa kupata mtoto wa kike walaiii
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hahahaha...pole mdada, kama ulikuwa unaenda kwa waganga that's so low of you. Mwanamke jua nguvu ya asili uliyonayo uliyopewa na Muumba. It's called the feminine power of seduction. Hakuna cha mganga wala nini. Kila mwanamke anayo hii nguvu you just need to activate itHamna lolote mbele za watu mnajifanya amplay smart ila nyuma ya pazia mna Mambo makubwa...hao masponyo Kuna Mambo wanafanya wakidhani ni akili zao ila kiukweli Mungu anawaona nyie...habari zenu Munalove alishazisimulia kwa wiki mnashinda kwa waganga siku sita Sasa Hilo si nizaidi ya jasho Ashera?
Umeona ehh...yani anavyowaelezea tena kwa uchungu. Isijekuwa walimfanyia kitu mbayaMimi anavyoelezea wazee sijui waganga in detail ni Kama ana ‘experience ‘ lol..
Usibadilishe Mambo!Mimi nafanya kazi kwa jasho langu na ninazaa kwa uchungu,nyie wapenda vya bure ndio kazi mnayo,mara mpige tunguli mara 713,huna say maana lazima ulipie ,hakuna pesa bure shangazi! Unajinadi kabisa kuwa mtumwa wa kingono,hivi uko sawa kweli?kwa Nini usitafute mmeo umseduce?kuseduce vibabu inahusu??pambaneni na vibabu vyenuHahahaha...pole mdada, kama ulikuwa unaenda kwa waganga that's so low of you. Mwanamke jua nguvu ya asili uliyonayo uliyopewa na Muumba. It's called the feminine power of seduction. Hakuna cha mganga wala nini. Kila mwanamke anayo hii nguvu you just need to activate it
Nifanyiwe kitu mbaya na Nani Mimi najitegemea poleni nyie kupe mnaongoja vya kupewaUmeona ehh...yani anavyowaelezea tena kwa uchungu. Isijekuwa walimfanyia kitu mbaya
Unapenda sana matunguli wewe. Nshasema wewe fanya kazi kula kwa jasho na zaa kwa uchungu, jenga na mwanaume, msaidie pesa pale anapokwama...yani ile inaitwa 50/50 if you know what i mean. Waache wenzio wanaotaka kuzaa kwa uchungu tu kama kusudi la Mungu lilivyo. Kama unafikiri hawaolewi...poleUsibadilishe Mambo!Mimi nafanya kazi kwa jasho langu na ninazaa kwa uchungu,nyie wapenda vya bure ndio kazi mnayo,mara mpige tunguli mara 713,huna say maana lazima ulipie ,hakuna pesa bure shangazi! Unajinadi kabisa kuwa mtumwa wa kingono,hivi uko sawa kweli?kwa Nini usitafute mmeo umseduce?kuseduce vibabu inahusu??pambaneni na vibabu vyenu
Unajitegemea ndo maana una hasira. Mwanamke kula kwa jasho daily si kitu rahisi. Ina madhara kiakili. Ndo maana wanawake wengi wanaojitegemea wamekuwa na tabia za kiumeNifanyiwe kitu mbaya na Nani Mimi najitegemea poleni nyie kupe mnaongoja vya kupewa