Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Muwe basi mnasoma mada kimakini.

Alishasema mwanzo "mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho "

Let's not attack her

Sio kweli. Wametafsiri tu ili wawe wavivu.

Kule bustanini Eva hakukaa tu alikuwa akichuma matunda na kumpelekea mumewe....ndio maana hata akaweza chuma hata lile tunda la mti wa katikati.
 
sio marathon tu hata seminar za kulipia (kulipiwa huko ndo kutamu sasa [emoji16][emoji16][emoji16]

knasiku nlkutana na shangingi1 la ukwel akanizingua weee siku alokubali [emoji16][emoji16] nakumbuka asubui alnambia ndo tatizo lenu vijana na mm nkamjibu acha ACHA UVIVU

*ivi kwa akili yako kuna mtu wa kusumbua mbele ya pesa?

Pesa ipi unayoongelea [emoji28][emoji28][emoji28]sipendi kubishana na maneno Mimi bahati nimetulia mambo ya ujana nimeyaacha
Wewe pesa inawezekana unayo ila I can bet huna pesa kama za ma sponyoo
Watu wanaoshoboka na wewe ni wanawake ambao bado hawajajielewa wanataka nini,they mix things wanataka looks,good sex na pesa hapohapo,hilo ndio kosa
Sikatai inawezekana unawalamba wadada wazuri na class zao my point is hawajajijua wanachokitaka
Mleta mada anaowaongelea ukikutana nao lazima wakuumize kichwa
 
Sure mkuu , mademu sampuli ya mtoa mada ni wajinga mnoo Yan unakuta papuchi ishalegea kabisa coz kila aina ya pipe ishapita
Hahaha... Eti kila aina ya pipe. Jifariji tu kijana
 
Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache

1. Pendeza. Take your time to dress up and make up. Nywele, kucha, mavazi, kunukia vizuri, mambo ya udi na perfume nzuri nk. Hapa kwenye mavazi vaa vigauni flani amazing with feminine colours, pink, red, nudes, beige, etc. Epuka kuvaa suruali hasa ukiwa mawindoni ( don't over do it with dressing up and make up utaonekana changu...be careful hapa). Wanaume wanaojielwa hawapendi too much make up and slutty outfits

2. Be feminine. Tabasamu muda wote hasa ukiwa mawindoni, hakikisha sauti yako ni nyororo, wanaume wanavutiwa na sauti nyororo, cheka na ongea taratibu, sio unacheka kicheko cha mahoka, big no. Act dumber than him so to boost his ego. Hata kama wewe ni mwanasheria mkongwe wa kimataifa usijionyeshe kuwa una uelewa wa juu sana wa mambo. No matter how successful you are girl, don't show it to him

3. Tembelea maeneo wanayopenda kutembelea wanaume wenye pesa, the rich side of town, mitaa flani ya kishua, bar au hotel za kishua, golf course, fund raising events, etc. Vaa vizuri pendeza tembelea maeneo hayo mara kwa mara, ipo siku utaibuka na mmoja

4. Lose weight. Jitahidi kuwa na mwili mwembamba, wanaume wenye pesa ndefu hupendelea zaidi wanawake wembamba

5. Usijirahisishe. Hapa wadada wengi ndo huwa wanajiharibia. Hata kama mwanaume ana pesa vipi usizuzuke na kukimbilia kitandani. Atakuona huna thamani na atakuacha fasta. Funga miguu yako for as long as it takes. Mwanaume atainvest zaidi kwako akiwa na anticipation kwamba ipo siku atakukula ( but he has to work for it coz your p***y is not cheap). Let him fantasize about you for as long as possible. Usitoe kirahisi

5. Hakikisha target yako ni wanaume wanaokuzidi kuanzia miaka 15 na kuendelea. I mean age difference. Wanaume wa hivi wanahonga sana maana anakuona kama mwanae na si pasua kichwa kama hawa vijana. Hawana presha za kujenga sijui kununua gari. He will spoil you rotten. Asiwe chini ya miaka 45

The uglier and older he is, the better.

6. Akikuomba namba ya simu mpe. Akikupa namba yake ya simu kamwe usiwe wa kwanza kumtafuta. Let him chase you, if he doesn't don't get tempted to try calling or texting him, atakuona cheap. He should call you first if he doesn't, move on to the next. He should be interested in you more than you are interested in him. Jifanye huna time kabisa

Trust me wanawake, hizi mbinu zinafanya kazi like a charm. Ndo limbwata lenyewe hili. It works. Its been working and it will still work till eternity.

Kama haikuhusu pita pembeni. Walioelewa wameelewa. This game is not for every woman. Ni kwa wale wanaoelewa thamani yao na nature yao halisi


Its trueeeee
 
Eeeh ndio maana siku hizi kila mtu yupo kwenye hizo marathon kumbe ni sehemu zenu za kujidai [emoji28][emoji28]
Mi siwezi kupiga timing na vijana magentleman mnakuaga hamna kitu zaidi ya kukamia k za wenzenu
Mleta mada haongelei watu kama wewe am so sure
Hahaha...wewe umenielewa. Hawa vijana hawaelewi, wanapepesuka tu hawajui kuwa wao sio wanaoongelewa hapa
 
Tu

Hela ya the ugliest and the oldest ni chungu Sana,maana Unatakiwa ujicheshekeshe ilhali huna furaha,,na yeye atataka akupeleke dinner karambezi huku amejiachia na Wewe Basi aibu utayoipata ni ya kiwango Cha juu...nakuunga tutafute pesa zetu
Nyie fanyeni kazi kwa bidii na mle kwa jasho lenu for the rest of your lives plus kuzaa kwa uchungu. Wenzenu wanajichekesha tu account zao zinasoma and their futures secured. Maisha ni kuchagua
 
Yaani unavyoitukuza **** utafikiri imekuwa oxygen.
Eti no free Pussy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] **** zenyewe zimeumuka na kulainika, haziishiwagi harufu, mara nyingi ni visima vya magonjwa etc ndo mnazifanya ndoano za kuvulia pesa inayopatikana kwa jasho?

Kama **** ishavuka miaka 25 no level of manipulation will get it the highest bid.
Utakuwa ulikutana na miss buza wewe...teh
 
Kwa kweli tutafanya tu,maana hata nyie mnatokwa jasho kuwahandle hao masponyo mnashinda kwa waganga mpaka dawa wanawapaka kwa kuunganisha vikoleo vyenu na vya mganga au unabisha?? Bado mnafanyiwa vitendo vizito na hao masponyo humo vyumbani,kifupi nyie ni watumwa wa ngono.Hakuna pesa rahisi dada usidanganye umma....na kuwa na mbabu Sio kwamba hutazaa kwa uchungu..unless usizae kabisa
 
Bahati hiyo ameipata K lyn tu na hajaipata kiurahisi maana Miss Tanzania title sio kila mdangaji anayo na inapatikana kwa ushindani mkubwa pia enzi zake... na kwa seke seke lilitokea ma sponsor wamejanjaruka...

Mwanamke ukitaka maisha mazuri tumia formula ya CEO wa NMB bank dada Ruth Zaipuna ..

Wanaume wadau wameshtuka wanataka win win hata kwa mchepuko awe na kitu cha ziada.. maana papuchi kila mwanamke anayo..

Na utamu wa nchi yetu ya kibantu hii wenye hela wengi ni la saba, wajanja sana...nawaza tu mtu anaenda kumdangia Mo dewji, ama matajiri wa migodini na mabus ya mikoani. Ama waarab wamiliki wa masheli na makampuni kibao kina asas, eti unamdangia laizer
 
Back
Top Bottom