Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

ashera

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
500
1,029
Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache

1. Pendeza. Take your time to dress up and make up. Nywele, kucha, mavazi, kunukia vizuri, mambo ya udi na perfume nzuri nk. Hapa kwenye mavazi vaa vigauni flani amazing with feminine colours, pink, red, nudes, beige, etc. Epuka kuvaa suruali hasa ukiwa mawindoni ( don't over do it with dressing up and make up utaonekana changu...be careful hapa). Wanaume wanaojielwa hawapendi too much make up and slutty outfits

2. Be feminine. Tabasamu muda wote hasa ukiwa mawindoni, hakikisha sauti yako ni nyororo, wanaume wanavutiwa na sauti nyororo, cheka na ongea taratibu, sio unacheka kicheko cha mahoka, big no. Act dumber than him so to boost his ego. Hata kama wewe ni mwanasheria mkongwe wa kimataifa usijionyeshe kuwa una uelewa wa juu sana wa mambo. No matter how successful you are girl, don't show it to him

3. Tembelea maeneo wanayopenda kutembelea wanaume wenye pesa, the rich side of town, mitaa flani ya kishua, bar au hotel za kishua, golf course, fund raising events, etc. Vaa vizuri pendeza tembelea maeneo hayo mara kwa mara, ipo siku utaibuka na mmoja

4. Lose weight. Jitahidi kuwa na mwili mwembamba, wanaume wenye pesa ndefu hupendelea zaidi wanawake wembamba

5. Usijirahisishe. Hapa wadada wengi ndo huwa wanajiharibia. Hata kama mwanaume ana pesa vipi usizuzuke na kukimbilia kitandani. Atakuona huna thamani na atakuacha fasta. Funga miguu yako for as long as it takes. Mwanaume atainvest zaidi kwako akiwa na anticipation kwamba ipo siku atakukula ( but he has to work for it coz your p***y is not cheap). Let him fantasize about you for as long as possible. Usitoe kirahisi

5. Hakikisha target yako ni wanaume wanaokuzidi kuanzia miaka 15 na kuendelea. I mean age difference. Wanaume wa hivi wanahonga sana maana anakuona kama mwanae na si pasua kichwa kama hawa vijana. Hawana presha za kujenga sijui kununua gari. He will spoil you rotten. Asiwe chini ya miaka 45

The uglier and older he is, the better.

6. Akikuomba namba ya simu mpe. Akikupa namba yake ya simu kamwe usiwe wa kwanza kumtafuta. Let him chase you, if he doesn't don't get tempted to try calling or texting him, atakuona cheap. He should call you first if he doesn't, move on to the next. He should be interested in you more than you are interested in him. Jifanye huna time kabisa

Trust me wanawake, hizi mbinu zinafanya kazi like a charm. Ndo limbwata lenyewe hili. It works. Its been working and it will still work till eternity.

Kama haikuhusu pita pembeni. Walioelewa wameelewa. This game is not for every woman. Ni kwa wale wanaoelewa thamani yao na nature yao halisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom