Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Kingine uwaeleze tu ukweli kuwa kuna varieties katika wanaume na wanawake ndio maana kuna mrefu, mfupi, bonge, mwembamba, tajiri na lofa.

Kila mtu atampata wa kuendana nae regardless unafosi na kuparangana kiasi gani.

Kama una character na qualities zinazovutia wanaume matajiri utakuwa nao na pengine kuolewa nao.Just stay true!

Kama una character na qualities ya kuwa na wanaume average basi utawavutia na kuwa nao pengine watakuoa kabisa. Stay true!

Character na Quality yako ndio itakuamulia fate. Kwahio kama amejiposition ambako siko anakohitajika kwa maigizo nature itamrudisha anapostahili tu na pengine hata atachezewa sana before hajajua.

Ndio maana kuna mpiga debe ana mke na watoto sawa tu na Mo ambavyo ana mke na watoto.
Kweli kiongozi kuna varieties nyingi sana, muhimu kwa mwanamke ni kujitunza tu ili aweze kupata mume wa kufanana nae.
 
Back
Top Bottom