Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Huyo Dada umasikini wake unamsumbua sana,na atatumika sana asipojiangalia,asidhani anawinda,kuna wengine wanamuwinda pia!!
Hahaha pole. Nyie ndo wa kulelewa na wanawake. Wewe sio target hivyo tulia na wa saizi yako
 
Haishangazi, kwenye jamii lazima wawepo watu Kama ashera wanaofikiri wapo smart sana lakini ukweli ni kinyume chake.
Uzuri ni kwamba, Mungu anatupenda wote kwa hiyo wana chance ya kubadilika na kuishi maisha halisi.
 
Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache

1. Pendeza. Take your time to dress up and make up. Nywele, kucha, mavazi, kunukia vizuri, mambo ya udi na perfume nzuri nk. Hapa kwenye mavazi vaa vigauni flani amazing with feminine colours, pink, red, nudes, beige, etc. Epuka kuvaa suruali hasa ukiwa mawindoni ( don't over do it with dressing up and make up utaonekana changu...be careful hapa). Wanaume wanaojielwa hawapendi too much make up and slutty outfits

2. Be feminine. Tabasamu muda wote hasa ukiwa mawindoni, hakikisha sauti yako ni nyororo, wanaume wanavutiwa na sauti nyororo, cheka na ongea taratibu, sio unacheka kicheko cha mahoka, big no. Act dumber than him so to boost his ego. Hata kama wewe ni mwanasheria mkongwe wa kimataifa usijionyeshe kuwa una uelewa wa juu sana wa mambo. No matter how successful you are girl, don't show it to him

3. Tembelea maeneo wanayopenda kutembelea wanaume wenye pesa, the rich side of town, mitaa flani ya kishua, bar au hotel za kishua, golf course, fund raising events, etc. Vaa vizuri pendeza tembelea maeneo hayo mara kwa mara, ipo siku utaibuka na mmoja

4. Lose weight. Jitahidi kuwa na mwili mwembamba, wanaume wenye pesa ndefu hupendelea zaidi wanawake wembamba

5. Usijirahisishe. Hapa wadada wengi ndo huwa wanajiharibia. Hata kama mwanaume ana pesa vipi usizuzuke na kukimbilia kitandani. Atakuona huna thamani na atakuacha fasta. Funga miguu yako for as long as it takes. Mwanaume atainvest zaidi kwako akiwa na anticipation kwamba ipo siku atakukula ( but he has to work for it coz your p***y is not cheap). Let him fantasize about you for as long as possible. Usitoe kirahisi

5. Hakikisha target yako ni wanaume wanaokuzidi kuanzia miaka 15 na kuendelea. I mean age difference. Wanaume wa hivi wanahonga sana maana anakuona kama mwanae na si pasua kichwa kama hawa vijana. Hawana presha za kujenga sijui kununua gari. He will spoil you rotten. Asiwe chini ya miaka 45

The uglier and older he is, the better.

6. Akikuomba namba ya simu mpe. Akikupa namba yake ya simu kamwe usiwe wa kwanza kumtafuta. Let him chase you, if he doesn't don't get tempted to try calling or texting him, atakuona cheap. He should call you first if he doesn't, move on to the next. He should be interested in you more than you are interested in him. Jifanye huna time kabisa

Trust me wanawake, hizi mbinu zinafanya kazi like a charm. Ndo limbwata lenyewe hili. It works. Its been working and it will still work till eternity.

Kama haikuhusu pita pembeni. Walioelewa wameelewa. This game is not for every woman. Ni kwa wale wanaoelewa thamani yao na nature yao halisi
ashera ndo unatuundia zengwe la kutumaliza hivi hivi??!!!!.
 
Eti
"The uglier, the older, the better..." Kisa tu kuhongwa

Ha ha ha ha

Haya maisha bwana.

Hivi wanawake kwani hatuna mikono ya kufanyia kazi, tukatafuta hela zetu wenyewe za kujidaia.
Ewaaaa!!!!,Tafuteni hela zenu wenyewe ilitutunze sisi vidume wenu.
 
Ni kweli its nature. Our female ancestors prefered tall male who are muscular and aggresive because this sign the male can compete with other male and get food to bring to her and her offsprings. This also sign security, male can protect her and her offspring from predators. Because we female have a 'duty' of carrying and rearing offsprings we normally dont have much time to go 'hunting' so we depend on males for resources, in modern world this means 'money' the more guy is able to bring resources.. 'money' the better [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
It's surprising vijana wa siku hizi hawaelewi hii kitu. Dunia imekuwa upside down. Wanawake ndo wamekuwa hunters
 
Kuna rafiki yangu Whatsapp ni Muhindi yupo India ameniambia nimtafutie dem wa kibongo afanye nae mipango ya uchumba then waoane kwa anaetaka aje ni mkonekti nae kwa njia ya Whatsapp sifa anazotaka ni awe Mkristo, asiwe na makakalio makubwa sana , rangi yoyote. Kama kuna mwanamke anataka basis aje pm nimuunganishe nae kama atafanikiwa itakuwa bahati yake NB: huyu si mjui nilikutana nae kwenye Group moja la whatsapp
Mmhhh!!!!,Hivi huko Wasichana wetu si ndo huwa wanaishia kufanyiwa unyama km vile kuchezeshwa porn,uchangu,kazi ngumu za bila malipo,n.k.Aisee km ni ndugu yangu siwezi kumshauri aende huko,bora akomae tu na Waume wa Kibongo kikubwa uzima.
 
Hela ipo ya kubadilishia mboga, siwezi tokwa povu maana najua wanawake tumeumbiwa sisi. Na uzuri ni kuwa mie situmii pesa ili nipate mwanamke ila nashangaa kumbe kuna watu wanaouziwa papuchi licha ya kuwa zimejaa kila kona [emoji23][emoji23][emoji23] which means kuna tatizo mahali flani.
Mkuu utashangaa huenda huyu anayejiita wa thamani kumbe sura ngunu sawa na ya mjomba wangu
 
Thamani kubwa ipo ila kwa wale tu wanaojielewa kama waliokuwa mama zetu. Waliangalia maisha kwa upana mkubwa waka invest nguvu ya pamoja na washua zetu kutengeneza maisha, wakatuzaa, kutulea hadi tulipofikia leo hii.

Wanawake wanao thamini teamwork katika maisha na kuamini katika ku raise familia bora wakiwa pamoja na wanaume wenye mtazamo chanya kimaisha hawa ndio naweza sema wanajithamini na kujua purpose yao hapa duniani.

Si wale wanawake wabinafsi na waliojawa tamaa za ajabu na uvivu wa kifikra huku wakiamini kwamba wao hawatakiwi kujishughisha ama kuinvest chochote katika uhusiano bali wavune pesa au mali kupitia jasho la mwanaume katika kivuli cha mapenzi.

Upeo wao wa kufikiria umeishia katika kuamini kwamba papuchi ndio visa ya kujiingiza katika channel ya wanaume wa aina flani ambao hawajali kuhusu chochote kwa mwanamke ila papuchi tu na wanawake hao kutumiwa na kutupwa kama kinga zilizovaliwa kwa hongo ndogo ndogo huku wakijipa moyo eti "Ni nature ya mwanaume kumhudumia mwanamke!"

Stop being stupid women. Basi mtu afanye hayo kwa msukumo wa mapenzi ya kweli mwenye nia ya dhati na wewe either kukuoa na ku raise a family together...unaokotwa golf court kisha ukatiwe na tajiri hoteli ya gharama kisha aku dump halafu unajiona smart! Utakuwa mtumwa wa kimwili mpaka lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]???
Wanawake wapumbavu huwa hawawazi future.
 
Thamani yako is the way you carry yourself. Ukiwa cheap hata kama unafanana na malaika, it's useless
Hahaha kama mnavyochaguaga penye pesa ndivyo tuchaguavyo chombo bora zaidi chenye sifa pendwa, hapo utanivuna.
Vinginevyo ....
 
Back
Top Bottom