Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache

1. Pendeza. Take your time to dress up and make up. Nywele, kucha, mavazi, kunukia vizuri, mambo ya udi na perfume nzuri nk. Hapa kwenye mavazi vaa vigauni luda wote hasa ukiwa mawindoni, hakikisha sauti yako ni nyororo, wanaume wanavutiwa na sauti nyororo, cheka na ongea taratibu, sio unacheka kicheko cha mahoka, big no. Act dumber than him so to boost his ego. Hata kama wewe ni mwanasheria mkongwe wa kimataifa usijionyeshe kuwa una uelewa wa juu sana wa mambo. No matter how successful you are girl, don't show it to him

3. Tembelea maeneo wanayopenda kutembelea wanaume wenye pesa, the rich side of town, mitaa flani ya kishua, bar au hotel za kishua, golf course, fund raising events, etc. Vaa vizuri pendeza tembelea maeneo hayo mara kwa mara, ipo siku utaibuka na mmoja

4. Lose weight. Jitahidi kuwa na mwili mwembamba, wanaume wenye pesa ndefu hupendelea zaidi wanawake wembamba

5. Usijirahisishe. Hapa wadada wengi ndo huwa wanajiharibia. Hata kama mwanaume ana pesa vipi usizuzuke na kukimbilia kitandani. Atakuona huna thamani na atakuacha fasta. Funga miguu yako for as long as it takes. Mwanaume atainvest zaidi kwako akiwa na anticipation kwamba ipo siku atakukula ( but he has to work for it coz your p***y is not cheap). Let him fantasize about you for as long as possible. Usitoe kirahisi

5. Hakikisha target yako ni wanaume wanaokuzidi kuanzia miaka 15 na kuendelea. I mean age difference. Wanaume wa hivi wanahonga sana maana anakuona kama mwanae na si pasua kichwa kama hawa vijana. Hawana presha za kujenga sijui kununua gari. He will spoil you rotten. Asiwe chini ya miaka 45

The uglier and older he is, the better.

6. Akikuomba namba ya simu mpe. Akikupa namba yake ya simu kamwe usiwe wa kwanza kumtafuta. Let him chase you, if he doesn't don't get tempted to try calling or texting him, atakuona cheap. He should call you first if he doesn't, move on to the next. He should be interested in you more than you are interested in him. Jifanye huna time kabisa

Trust me wanawake, hizi mbinu zinafanya kazi like a charm. Ndo limbwata lenyewe hili. It works. Its been working and it will still work till eternity.

Kama haikuhusu pita pembeni. Walioelewa wameelewa. This game is not for every woman. Ni kwa wale wanaoelewa thamani yao na nature yao halisi
Hii inaendana na ule msemo" Ukipenda kula chaza ujue kuzichokoa"
 
Toka enzi na enzi mwanamke ana thamani kubwa. Wa siku hizi hawajielewi. Wanalalwa bure. Si sawa. No free p. Mwanaume lazima agharamie. It's nature

Ni kweli its nature. Our female ancestors prefered tall male who are muscular and aggresive because this sign the male can compete with other male and get food to bring to her and her offsprings. This also sign security, male can protect her and her offspring from predators. Because we female have a 'duty' of carrying and rearing offsprings we normally dont have much time to go 'hunting' so we depend on males for resources, in modern world this means 'money' the more guy is able to bring resources.. 'money' the better 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hela ipo ya kubadilishia mboga, siwezi tokwa povu maana najua wanawake tumeumbiwa sisi. Na uzuri ni kuwa mie situmii pesa ili nipate mwanamke ila nashangaa kumbe kuna watu wanaouziwa papuchi licha ya kuwa zimejaa kila kona [emoji23][emoji23][emoji23] which means kuna tatizo mahali flani.
Wenzio hawataki za bure wanapenda wagharamie. Shida yako nini hapo? Wewe tulia kula papuchi za bure, ndo saizi yako.l
 
Thamani kubwa ipo ila kwa wale tu wanaojielewa kama waliokuwa mama zetu. Waliangalia maisha kwa upana mkubwa waka invest nguvu ya pamoja na washua zetu kutengeneza maisha, wakatuzaa, kutulea hadi tulipofikia leo hii.

Wanawake wanao thamini teamwork katika maisha na kuamini katika ku raise familia bora wakiwa pamoja na wanaume wenye mtazamo chanya kimaisha hawa ndio naweza sema wanajithamini na kujua purpose yao hapa duniani.

Si wale wanawake wabinafsi na waliojawa tamaa za ajabu na uvivu wa kifikra huku wakiamini kwamba wao hawatakiwi kujishughisha ama kuinvest chochote katika uhusiano bali wavune pesa au mali kupitia jasho la mwanaume katika kivuli cha mapenzi.

Upeo wao wa kufikiria umeishia katika kuamini kwamba papuchi ndio visa ya kujiingiza katika channel ya wanaume wa aina flani ambao hawajali kuhusu chochote kwa mwanamke ila papuchi tu na wanawake hao kutumiwa na kutupwa kama kinga zilizovaliwa kwa hongo ndogo ndogo huku wakijipa moyo eti "Ni nature ya mwanaume kumhudumia mwanamke!"

Stop being stupid women. Basi mtu afanye hayo kwa msukumo wa mapenzi ya kweli mwenye nia ya dhati na wewe either kukuoa na ku raise a family together...unaokotwa golf court kisha ukatiwe na tajiri hoteli ya gharama kisha aku dump halafu unajiona smart! Utakuwa mtumwa wa kimwili mpaka lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]???
Huu mchezo hauhitaji hasira. Wewe katafute hao wa bure bure. Si kila mwanamke ni saizi yako. Wanaume wanaojielewa wanaujua huu mchezo vizuri sana
 
Back
Top Bottom