KabisaaaaaBadili tittle ya uzi. Andika "mbinu za kua malaya"
Thamani kubwa ipo ila kwa wale tu wanaojielewa kama waliokuwa mama zetu. Waliangalia maisha kwa upana mkubwa waka invest nguvu ya pamoja na washua zetu kutengeneza maisha, wakatuzaa, kutulea hadi tulipofikia leo hii.Toka enzi na enzi mwanamke ana thamani kubwa. Wa siku hizi hawajielewi. Wanalalwa bure. Si sawa. No free p. Mwanaume lazima agharamie. It's nature
Negativity mind.Umalaya ni nini?
Nahis danga langu limesoma huu ushaur [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7] Mana Lina bana Sana Ila ulisahau kuwaambia kua wakizingua muda mrefu tunabadil upepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]aiseeWewe fanya kazi kwa bidii tafuta hela zako mwenyewe. Hili game lina wenyewe
😁😁😁try meUnawala wale wanaoshoboka na vijipesa mbuzi
Aisee[emoji23][emoji1787][emoji1787]Hahaha una hela? Kama huna lazima utokwe povu. Wenye pesa zao wanauelewa mchezo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo ni mbinu za wadangaji waliochangamka
Acha ujinga ww, unawafundisha wenzako umalaya afu unajitoa ufahamu ,kiande kweli wwUmalaya ni nini?
Salama Shem...hahahaha Shem Mimi hata sijui Kama ni halali au vipi
Huyo Dada umasikini wake unamsumbua sana,na atatumika sana asipojiangalia,asidhani anawinda,kuna wengine wanamuwinda pia!!Acha ujinga ww, unawafundisha wenzako umalaya afu unajitoa ufahamu ,kiande kweli ww
jamii forum mkuu utakuta mtoa mada lose ball wa hatari, yaani utumii nguvu kwenye keyboard humu ni classThamani kubwa ipo ila kwa wale tu wanaojielewa kama waliokuwa mama zetu. Waliangalia maisha kwa upana mkubwa waka invest nguvu ya pamoja na washua zetu kutengeneza maisha, wakatuzaa, kutulea hadi tulipofikia leo hii.
Wanawake wanao thamini teamwork katika maisha na kuamini katika ku raise familia bora wakiwa pamoja na wanaume wenye mtazamo chanya kimaisha hawa ndio naweza sema wanajithamini na kujua purpose yao hapa duniani.
Si wale wanawake wabinafsi na waliojawa tamaa za ajabu na uvivu wa kifikra huku wakiamini kwamba wao hawatakiwi kujishughisha ama kuinvest chochote katika uhusiano bali wavune pesa au mali kupitia jasho la mwanaume katika kivuli cha mapenzi.
Upeo wao wa kufikiria umeishia katika kuamini kwamba papuchi ndio visa ya kujiingiza katika channel ya wanaume wa aina flani ambao hawajali kuhusu chochote kwa mwanamke ila papuchi tu na wanawake hao kutumiwa na kutupwa kama kinga zilizovaliwa kwa hongo ndogo ndogo huku wakijipa moyo eti "Ni nature ya mwanaume kumhudumia mwanamke!"
Stop being stupid women. Basi mtu afanye hayo kwa msukumo wa mapenzi ya kweli mwenye nia ya dhati na wewe either kukuoa na ku raise a family together...unaokotwa golf court kisha ukatiwe na tajiri hoteli ya gharama kisha aku dump halafu unajiona smart! Utakuwa mtumwa wa kimwili mpaka lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]???
Muwe basi mnasoma mada kimakini.Eti
"The uglier, the older, the better..." Kisa tu kuhongwa
Ha ha ha ha
Haya maisha bwana.
Hivi wanawake kwani hatuna mikono ya kufanyia kazi, tukatafuta hela zetu wenyewe za kujidaia.