Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,400
- 2,882
Kutafuta mwanaume mwenye pesa ndio maana ya Umalaya?
Je kutembea na wanaume au wanawake tofauti tofauti ni nini?
Ni kufanya mazoezi ya miguu na kuimarisha afya ya mwili na akili
Kutafuta mwanaume mwenye pesa ndio maana ya Umalaya?
Je kutembea na wanaume au wanawake tofauti tofauti ni nini?
Wa sponsorAkina nani hao??
Eti
"The uglier, the older, the better..." Kisa tu kuhongwa
Ha ha ha ha
Haya maisha bwana.
Hivi wanawake kwani hatuna mikono ya kufanyia kazi, tukatafuta hela zetu wenyewe za kujidaia.
Wacha we[emoji16][emoji16]Thamani kubwa ipo ila kwa wale tu wanaojielewa kama waliokuwa mama zetu. Waliangalia maisha kwa upana mkubwa waka invest nguvu ya pamoja na washua zetu kutengeneza maisha, wakatuzaa, kutulea hadi tulipofikia leo hii.
Wanawake wanao thamini teamwork katika maisha na kuamini katika ku raise familia bora wakiwa pamoja na wanaume wenye mtazamo chanya kimaisha hawa ndio naweza sema wanajithamini na kujua purpose yao hapa duniani.
Si wale wanawake wabinafsi na waliojawa tamaa za ajabu na uvivu wa kifikra huku wakiamini kwamba wao hawatakiwi kujishughisha ama kuinvest chochote katika uhusiano bali wavune pesa au mali kupitia jasho la mwanaume katika kivuli cha mapenzi.
Upeo wao wa kufikiria umeishia katika kuamini kwamba papuchi ndio visa ya kujiingiza katika channel ya wanaume wa aina flani ambao hawajali kuhusu chochote kwa mwanamke ila papuchi tu na wanawake hao kutumiwa na kutupwa kama kinga zilizovaliwa kwa hongo ndogo ndogo huku wakijipa moyo eti "Ni nature ya mwanaume kumhudumia mwanamke!"
Stop being stupid women. Basi mtu afanye hayo kwa msukumo wa mapenzi ya kweli mwenye nia ya dhati na wewe either kukuoa na ku raise a family together...unaokotwa golf court kisha ukatiwe na tajiri hoteli ya gharama kisha aku dump halafu unajiona smart! Utakuwa mtumwa wa kimwili mpaka lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]???
Wewe fanya kazi kwa bidii tafuta hela zako mwenyewe. Hili game lina wenyewe
We jamaa hueleweki, mara unambato demu anayeliwa na wazee, mara unapenda vigauni, na vitenge[emoji15][emoji15] which and which?Kuna kabinti kapo vzur kama mnyarwanda kanabahati ya kupendwa na wababa watu wazima toka kakiwa na umri wa miaka 14 kalianza kutoka nao,mpaka Leo wanaendelea kuzuzuka sasa kana miaka 24,hadi huwa nahis labda kalitengeneza dawa,muhuni npo nakuja vtu vya wazee Mdogo Mdogo na Mtoto kakolea kaamua kuachana na maisha hayo
NB:huwa sipendelei kuona demu kavaa suruali,napendaga vsket fulan vya mtumba vzur vzur au vigaun vya ktenge vya kubana
Hahaha una hela? Kama huna lazima utokwe povu. Wenye pesa zao wanauelewa mchezo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji1]Thubutuuu...nani kakwambia humu kuna masponsor?. True sponsors hawana muda na social media kwa taarifa yako
Wa sponsor
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji1]
Kwahiyo humu ni apeche alolo[emoji28][emoji1787]
Wacha wee Yaani mulemule,[emoji3][emoji3][emoji3]Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache
1. Pendeza. Take your time to dress up and make up. Nywele, kucha, mavazi, kunukia vizuri, mambo ya udi na perfume nzuri nk. Hapa kwenye mavazi vaa vigauni flani amazing with feminine colours, pink, red, nudes, beige, etc. Epuka kuvaa suruali hasa ukiwa mawindoni ( don't over do it with dressing up and make up utaonekana changu...be careful hapa). Wanaume wanaojielwa hawapendi too much make up and slutty outfits
2. Be feminine. Tabasamu muda wote hasa ukiwa mawindoni, hakikisha sauti yako ni nyororo, wanaume wanavutiwa na sauti nyororo, cheka na ongea taratibu, sio unacheka kicheko cha mahoka, big no. Act dumber than him so to boost his ego. Hata kama wewe ni mwanasheria mkongwe wa kimataifa usijionyeshe kuwa una uelewa wa juu sana wa mambo. No matter how successful you are girl, don't show it to him
3. Tembelea maeneo wanayopenda kutembelea wanaume wenye pesa, the rich side of town, mitaa flani ya kishua, bar au hotel za kishua, golf course, fund raising events, etc. Vaa vizuri pendeza tembelea maeneo hayo mara kwa mara, ipo siku utaibuka na mmoja
4. Lose weight. Jitahidi kuwa na mwili mwembamba, wanaume wenye pesa ndefu hupendelea zaidi wanawake wembamba
5. Usijirahisishe. Hapa wadada wengi ndo huwa wanajiharibia. Hata kama mwanaume ana pesa vipi usizuzuke na kukimbilia kitandani. Atakuona huna thamani na atakuacha fasta. Funga miguu yako for as long as it takes. Mwanaume atainvest zaidi kwako akiwa na anticipation kwamba ipo siku atakukula ( but he has to work for it coz your p***y is not cheap). Let him fantasize about you for as long as possible. Usitoe kirahisi
5. Hakikisha target yako ni wanaume wanaokuzidi kuanzia miaka 15 na kuendelea. I mean age difference. Wanaume wa hivi wanahonga sana maana anakuona kama mwanae na si pasua kichwa kama hawa vijana. Hawana presha za kujenga sijui kununua gari. He will spoil you rotten. Asiwe chini ya miaka 45
The uglier and older he is, the better.
6. Akikuomba namba ya simu mpe. Akikupa namba yake ya simu kamwe usiwe wa kwanza kumtafuta. Let him chase you, if he doesn't don't get tempted to try calling or texting him, atakuona cheap. He should call you first if he doesn't, move on to the next. He should be interested in you more than you are interested in him. Jifanye huna time kabisa
Trust me wanawake, hizi mbinu zinafanya kazi like a charm. Ndo limbwata lenyewe hili. It works. Its been working and it will still work till eternity.
Kama haikuhusu pita pembeni. Walioelewa wameelewa. This game is not for every woman. Ni kwa wale wanaoelewa thamani yao na nature yao halisi
Noted mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Hela ipo ya kubadilishia mboga, siwezi tokwa povu maana najua wanawake tumeumbiwa sisi. Na uzuri ni kuwa mie situmii pesa ili nipate mwanamke ila nashangaa kumbe kuna watu wanaouziwa papuchi licha ya kuwa zimejaa kila kona [emoji23][emoji23][emoji23] which means kuna tatizo mahali flani.
Mzee umetema madini mazito sana hongeraThamani kubwa ipo ila kwa wale tu wanaojielewa kama waliokuwa mama zetu. Waliangalia maisha kwa upana mkubwa waka invest nguvu ya pamoja na washua zetu kutengeneza maisha, wakatuzaa, kutulea hadi tulipofikia leo hii.
Wanawake wanao thamini teamwork katika maisha na kuamini katika ku raise familia bora wakiwa pamoja na wanaume wenye mtazamo chanya kimaisha hawa ndio naweza sema wanajithamini na kujua purpose yao hapa duniani.
Si wale wanawake wabinafsi na waliojawa tamaa za ajabu na uvivu wa kifikra huku wakiamini kwamba wao hawatakiwi kujishughisha ama kuinvest chochote katika uhusiano bali wavune pesa au mali kupitia jasho la mwanaume katika kivuli cha mapenzi.
Upeo wao wa kufikiria umeishia katika kuamini kwamba papuchi ndio visa ya kujiingiza katika channel ya wanaume wa aina flani ambao hawajali kuhusu chochote kwa mwanamke ila papuchi tu na wanawake hao kutumiwa na kutupwa kama kinga zilizovaliwa kwa hongo ndogo ndogo huku wakijipa moyo eti "Ni nature ya mwanaume kumhudumia mwanamke!"
Stop being stupid women. Basi mtu afanye hayo kwa msukumo wa mapenzi ya kweli mwenye nia ya dhati na wewe either kukuoa na ku raise a family together...unaokotwa golf court kisha ukatiwe na tajiri hoteli ya gharama kisha aku dump halafu unajiona smart! Utakuwa mtumwa wa kimwili mpaka lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]???
Kwa hiyo ulitaka walale na wanaume bure? Yani mwanaume usigharamike kwa chochote? Kulala na wanaume wengi ndo umalaya, kuvua chupi hovyo hovyo ndo umalaya. Umeona nawaambia wanawake wavue chupi hovyo? In fact nawafundisha wanawake wafunge miguu yao ila tu kwa mwanaume atayewathaminiMwanamke kutafuta kipato kwa njia ya kusaka wanaume na kufanya nao mapenzi.
Yaani kudanga kwa ajili ya faida ya mali na au pesa
Kwa hiyo ulitaka walale na wanaume bure? Yani mwanaume usigharamike kwa chochote? Kulala na wanaume wengi ndo umalaya, kuvua chupi hovyo hovyo ndo umalaya. Umeona nawaambia wanawake wavue chupi hovyo? In fact nawafundisha wanawake wafunge miguu yao ila tu kwa mwanaume atayewathamini

Maana yake nini?Professional hore!
Hahaha...! Haswaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji1]
Kwahiyo wa humu ni apeche alolo[emoji28][emoji1787]
Utajijua mwenyeweInfact, umejiuliza na kujijibu mwenyewe
Utajijua mwenyewe