Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Hi wana MMU hii inawahusu ME tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:

1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money ndugu zangu toa hi then go straight to the point niko busy sana ukijibu hi afu ndo nikupe muda wa kujieleza .

2) Hapa ukiona sijajibu pm yako ujue ID yako sijawahi kuiona popote ndani ya JF (ngeni) huwezi kunipm from no where sitakuamini kwa kweli kwa sababu JF ni msitu halafu kuna mambo ya multiple id's lazima niogope.

3) Sababu ya mwisho ukiona sijajibu pm yako jua nimeangalia profile yako na michango yako haijaniridhisha kuna wale wenye jinsia za utata leo me kesho ke na mengine chungu nzima.

Nimelazimika kusema kwa sababu mnanijazia page za pm yangu ukijiona hayo matatu yanakuhusu usijisumbue

NB
IDzote za me zinazozijua kwa kina nyie hamuhusiki hapa pamoja na shemeji zangu wote na watani zangu wote.

kama haukuamua kuzijibu pm ...why do u care? unapiga promo? ni wewe tu unaepata pm?.......yani hii mmu imeharibika nowadays imekuwa kama chambo.
 
promo ya nini?? mawazo yako mgando hii jf kila mtu anaruhusiwa kutoa maoni yake freely kama nimekuchefua lamba ndimu ustakpike
 
Hahahahahaha lol!!!!! Hiyo namba tatu inachukua uzito mkubwa sana ukilinganisha na hizo mbili za kwanza, lakini zote muhimu.

Hi wana MMU hii inawahusu ME tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:

1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money ndugu zangu toa hi then go straight to the point niko busy sana ukijibu hi afu ndo nikupe muda wa kujieleza .

2) Hapa ukiona sijajibu pm yako ujue ID yako sijawahi kuiona popote ndani ya JF (ngeni) huwezi kunipm from no where sitakuamini kwa kweli kwa sababu JF ni msitu halafu kuna mambo ya multiple id's lazima niogope.

3) Sababu ya mwisho ukiona sijajibu pm yako jua nimeangalia profile yako na michango yako haijaniridhisha kuna wale wenye jinsia za utata leo me kesho ke na mengine chungu nzima.

Nimelazimika kusema kwa sababu mnanijazia page za pm yangu ukijiona hayo matatu yanakuhusu usijisumbue

NB
IDzote za me zinazozijua kwa kina nyie hamuhusiki hapa pamoja na shemeji zangu wote na watani zangu wote.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol!!!!! Hiyo namba tatu inachukua uzito mkubwa sana ukilinganisha na hizo mbili za kwanza, lakini zote muhimu.

lol BAK thanks video japo haifunguki
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Miss neddy kaamua kuchukua sensa ya me.....maana ndo tunaoruhusiwa kuchangia uzi huu

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
promo ya nini?? mawazo yako mgando hii jf kila mtu anaruhusiwa kutoa maoni yake freely kama nimekuchefua lamba ndimu ustakpike

Unatoa maoni unafanya marketing?? yani kuna vidada mmejaa mmu siku izi mpo kitapelitapeli macho juu juu kuwinda....hivi una habari kuwa kabla hamjavamia umu mpk redio za kibongobongo zilitoa topic hapa kwny vipindi vya relationship,ss haieleweki ipi chit chat ipi nn watu wapo kimawindo tu.
 
Inaelekea nyie wanaume ni mabingwa wa Pm.
[FONT=Century
Gothic]Hahahahahaha lol!!!!! Hiyo namba tatu inachukua uzito mkubwa sana
ukilinganisha na hizo mbili za kwanza, lakini zote muhimu.
[/FONT]

Last edited by a moderator:
Hakyanani....
..mpaka nimuandikie mtu pm...mmmh!!!!
 
Hata kama hazijai, lakini zinakurupukaga ghafla once in a while unabaki unashangaa tu.

Kuna watu hawana adabu kwa kweli, anakurupuka wakati wengine tunashare id/pasiwedi zetu na mazombie.

Naomba ufunguo kwa masaa tu nichungulie kidogo....

Kwa nini watu wanakufa kwa mafuriko wakati babu anateswa na ukame?

Kizuri share na ndugu yako basi Kongosho..lol!!
 
Last edited by a moderator:
Unatoa maoni unafanya marketing?? yani kuna vidada mmejaa mmu siku izi mpo kitapelitapeli macho juu juu kuwinda....hivi una habari kuwa kabla hamjavamia umu mpk redio za kibongobongo zilitoa topic hapa kwny vipindi vya relationship,ss haieleweki ipi chit chat ipi nn watu wapo kimawindo tu.

hio hainihusu sawa eeeh sijawahi kupata ban na usinitie majaribuni hapa hujaitwa wala invitation card sijakutumia we hizo mada za mana tangu ujiunge jf umezileta kila siku unaongeaga utumbo tu pita hivii-------> thread ziko kibao
 
Back
Top Bottom