Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

miss neddy naomba ujibu maswali yafuatayo maana nahisi kuwa una lengo la ziada;
1.Umesema haujibu PM fupi e.g Hi, lakini umetoa angalizo kwa wanaume pekee..je wanawake huwa hawatumi PM fupi.? haujibu.?
2. Umesema kuwa haujibu PM zenye ID mpya then ukataja wanaume pekee, je unajuaje kama hiyo PM yenye ID mpya ni kitoka kwa jinsia ya kiume.?
3. unasema kuwa haujibu PM fupi eti kama una lengo la ziada uendeleze hapohapo ili ijibu yote kwa pamoja, hii umeitoa ukitahadharisha kuwa ni kuokoa muda. Sawa, ila kama lengo lake ni kutoa Hi pekee.?
4. Umesema kuwa mara nyingine ukitumiwa PM huwa unakagua Profile ili ujiridhishe kama mtumaji huwa anatoa points za maana ndo ujibu, hapa pia umeelekeza kwa wanaume pekee.Hao wanawake huwa hawachangii pumba? If yes, unajibu PM zao.?

Ukinijibu haya maswali nitaelewa ni nini hasa lengo la huu uzi wako.
 
Last edited by a moderator:
Umexomeka 0.002%😄😄😄😄😄
 
hio hainihusu sawa eeeh sijawahi kupata ban na usinitie majaribuni hapa hujaitwa wala invitation card sijakutumia we hizo mada za mana tangu ujiunge jf umezileta kila siku unaongeaga utumbo tu pita hivii-------> thread ziko kibao

Acha sasa niongee utumbo,ni hivi......Mtakufa nyie watoto nisikilizeni kaka yenu, mademu wote mlio desperate umu mnaonekana watu wana akili zao wanawachek tu hamuwajui men nyny vzr wanajua kuwachota ......msiendekeze nyeeege watu wameungua umu uko mtaani hawatamani ata kukatiza vidole kila kona wanakuja kuwazoa umu wenyewe mnaona mnawaingiza mkenge eti wajanja sana.

utaona kidemu kinajifanya kicute chenyeww eti kina shangaa hivi umu watu uwa wanakutana vingereza viiingi, masela wako calabash wanagonga glass wanaonyeshana tu umemuona mkeo wanakuchora washapasiana wote

narydia tena mtakufa nyinyi msivamievamie mitandao hamko smart km mnavyodhani.......we km ni wa sh kumi usilazimishe tukuone wa sh laki acheni tamaa mtakufa na degree zenu kijinga ,wenyewe mmeona hapa deal mnatangaza hadi bei zenu kijanja hahaha huruma sn eti mie hivi mie vile

huo ndio utumbo wangu kwa leo,ukitaka tupa ukiweza ungia kwenye ndizi ule
 
miss neddy naomba ujibu maswali yafuatayo maana nahisi kuwa una lengo la ziada;
1.Umesema haujibu PM fupi e.g Hi, lakini umetoa angalizo kwa wanaume pekee..je wanawake huwa hawatumi PM fupi.? haujibu.?
2. Umesema kuwa haujibu PM zenye ID mpya then ukataja wanaume pekee, je unajuaje kama hiyo PM yenye ID mpya ni kitoka kwa jinsia ya kiume.?
3. unasema kuwa haujibu PM fupi eti kama una lengo la ziada uendeleze hapohapo ili ijibu yote kwa pamoja, hii umeitoa ukitahadharisha kuwa ni kuokoa muda. Sawa, ila kama lengo lake ni kutoa Hi pekee.?
4. Umesema kuwa mara nyingine ukitumiwa PM huwa unakagua Profile ili ujiridhishe kama mtumaji huwa anatoa points za maana ndo ujibu, hapa pia umeelekeza kwa wanaume pekee.Hao wanawake huwa hawachangii pumba? If yes, unajibu PM zao.?

Ukinijibu haya maswali nitaelewa ni nini hasa lengo la huu uzi wako.

1 wanawake hawatumi fupi (wale ninaofahamiana nao kama mwallu Honey Faith ICHANA Khantwe na wengineo anakupm anakwambia nilitaka kukushirikisha 1,2,3 ila hao ni mabesti zangu hata akituma fupi najibu
2 mwanamke aje na new id ili iweje hii wanayo wanaume 90%
3 kama lengo lake ni kutoa Hi basi ajue nimeijibu kimoyoni mwingine anaandika Hi kwenye title ukifungua pm yenyewe haina kitu
4 bahati nzuri rafiki zangu wote wanajielewa hapa hata me sio mara zote naandika point pm ya ke zote najibu wala sina shida ya kukagua profile zao hata me sio wote ninaowakagua kuna rafiki zangu nawajibu hata kama ni Hi nakagua id ngeni tu
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina swali la kizushi tu kwako..if time is really money to you? how much do u make in an hour?
 
1 wanawake hawatumi fupi (wale ninaofahamiana nao kama mwallu Honey Faith ICHANA Khantwe na wengineo anakupm anakwambia nilitaka kukushirikisha 1,2,3 ila hao ni mabesti zangu hata akituma fupi najibu
2 mwanamke aje na new id ili iweje hii wanayo wanaume 90%
3 kama lengo lake ni kutoa Hi basi ajue nimeijibu kimoyoni mwingine anaandika Hi kwenye title ukifungua pm yenyewe haina kitu
4 bahati nzuri rafiki zangu wote wanajielewa hapa hata me sio mara zote naandika point pm ya ke zote najibu wala sina shida ya kukagua profile zao hata me sio wote ninaowakagua kuna rafiki zangu nawajibu hata kama ni Hi nakagua id ngeni tu

Ok, point noted..hivi ni kweli kuwa CCM huna hamu nao?
 
Last edited by a moderator:
Acha sasa niongee utumbo,ni hivi......Mtakufa nyie watoto nisikilizeni kaka yenu, mademu wote mlio desperate umu mnaonekana watu wana akili zao wanawachek tu hamuwajui men nyny vzr wanajua kuwachota ......msiendekeze nyeeege watu wameungua umu uko mtaani hawatamani ata kukatiza vidole kila kona wanakuja kuwazoa umu wenyewe mnaona mnawaingiza mkenge eti wajanja sana.

utaona kidemu kinajifanya kicute chenyeww eti kina shangaa hivi umu watu uwa wanakutana vingereza viiingi, masela wako calabash wanagonga glass wanaonyeshana tu umemuona mkeo wanakuchora washapasiana wote

narydia tena mtakufa nyinyi msivamievamie mitandao hamko smart km mnavyodhani.......we km ni wa sh kumi usilazimishe tukuone wa sh laki acheni tamaa mtakufa na degree zenu kijinga ,wenyewe mmeona hapa deal mnatangaza hadi bei zenu kijanja hahaha huruma sn eti mie hivi mie vile

huo ndio utumbo wangu kwa leo,ukitaka tupa ukiweza ungia kwenye ndizi ule
sina kaka kama wewe usinitukanishie kakazangu wa ukweli humu humu kina ntuzu ushauri kuna aliekuomba nani??? wote tuna meno32 kila mtu anajua afanyalo humu aliekwambia tumevamia mtandao nani wote born in town ww ndo hujielewi fungua uzi wako utoe huo ushauri nishakuweka kwa dustbin huna jipya
 
jamani mtoto wa kike anataka tongozo fupi lenye muhamala wa tiGOPesa, MPesa n.k

Watu8 embu tupe namba ya miss neddy na minimum amount maana tigo pesa hata 250 inaenda ukimtumia mtu. ha ha haaa
 
Hi wana MMU hii inawahusu ME tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:

1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money ndugu zangu toa hi then go straight to the point niko busy sana ukijibu hi afu ndo nikupe muda wa kujieleza .

2) Hapa ukiona sijajibu pm yako ujue ID yako sijawahi kuiona popote ndani ya JF (ngeni) huwezi kunipm from no where sitakuamini kwa kweli kwa sababu JF ni msitu halafu kuna mambo ya multiple id's lazima niogope.

3) Sababu ya mwisho ukiona sijajibu pm yako jua nimeangalia profile yako na michango yako haijaniridhisha kuna wale wenye jinsia za utata leo me kesho ke na mengine chungu nzima.

Nimelazimika kusema kwa sababu mnanijazia page za pm yangu ukijiona hayo matatu yanakuhusu usijisumbue

NB
IDzote za me zinazozijua kwa kina nyie hamuhusiki hapa pamoja na shemeji zangu wote na watani zangu wote.

ahaa.. hivi zangu huwa unajibu? :cool2::cool2:
 
hahahahaha umenikumbusha avatar yangu lol me CDM damu damu

mmmh..au kwa kuwa nanihii yupo Chadema basi na wewe ukawa Chadema...Hata mpira huwa mpo club moja...siku likibuma hakuna wa kutoa pole kwa mwenzake...ila kapotea humu??
 
Back
Top Bottom