Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Ha haaa lakini sijamtafutia huko piemu, wewe ndo umemwambia aweke masharti magumu ya kuingia piemu yake?

we unadhani yupo siriasi huyu...sema wengi waendao piemu yake wanaenda mikono mitupu...

sasa si wajua mkono mtupu haulambwi, mkono mtupu kazi yake kuchamba tu!!!
 
Yuko siriasi lol! Asingefungua thread. Hiyo ni tahadhari yani ukitaka kuzama piemu lazima ukague malengo mahususi yako
 
Shemeji.... Excel unapotea sana siku where are you?
 
Last edited by a moderator:
Yuko siriasi lol! Asingefungua thread. Hiyo ni tahadhari yani ukitaka kuzama piemu lazima ukague malengo mahususi yako

aiseee!!! lakini mbona mimi huwa namtumia piemu na id yangu ile ya miaka 44 huwa anajibu freshi tu :A S 109:
 
Back
Top Bottom