Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

babu ujue bado nina kamba mguuni itabidi unipe darasa matumizi mengine naona kila anakuja anatongoza tu
Mi nadhani ndo madhara ya kutumia avatar zisizojulikana zitokako,nyingine za majini mahaba kila anayeliona anatamani kulitongoza,mwenye nayo anaboreka missNEDDDY badilisha hiyo avatar atuona matokeo yake
 
Last edited by a moderator:
Hi wana MMU hii inawahusu nyie tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:

1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money ndugu zangu toa hi then go straight to the point niko busy sana ukijibu hi afu ndo nikupe muda wa kujieleza .

2) Hapa ukiona sijajibu pm yako ujue ID yako sijawahi kuiona popote ndani ya JF (ngeni) huwezi kunipm from no where sitakuamini kwa kweli kwa sababu JF ni msitu halafu kuna mambo ya multiple id's lazima niogope.

3) Sababu ya mwisho ukiona sijajibu pm yako jua nimeangalia profile yako na michango yako haijaniridhisha kuna wale wenye jinsia za utata leo me kesho ke na mengine chungu nzima.

Nimelazimika kusema kwa sababu mnanijazia page za pm yangu ukijiona hayo matatu yanakuhusu usijisumbue

NB
IDzote za me zinazozijua kwa kina nyie hamuhusiki hapa pamoja na shemeji zangu wote na watani zangu wote.

Hi miss neddy!!
 
Kuna wengine anakujia pm kukutega tu tena na id mpya kabisa mi hata kujibu sinaga mda akikujua lazima aanzishe uzi
 
Kuna wengine anakujia pm kukutega tu tena na id mpya kabisa mi hata kujibu sinaga mda akikujua lazima aanzishe uzi

mbona mii ulinijibu nilipokuja na ile id yangu nyingine....

tena nkakuchimbaaaa
 
Week hii id mpya zitakua nyingi sana humu
 
Back
Top Bottom