Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

1 wanawake hawatumi fupi (wale ninaofahamiana nao kama mwallu Honey Faith ICHANA Khantwe na wengineo anakupm anakwambia nilitaka kukushirikisha 1,2,3 ila hao ni mabesti zangu hata akituma fupi najibu
2 mwanamke aje na new id ili iweje hii wanayo wanaume 90%
3 kama lengo lake ni kutoa Hi basi ajue nimeijibu kimoyoni mwingine anaandika Hi kwenye title ukifungua pm yenyewe haina kitu
4 bahati nzuri rafiki zangu wote wanajielewa hapa hata me sio mara zote naandika point pm ya ke zote najibu wala sina shida ya kukagua profile zao hata me sio wote ninaowakagua kuna rafiki zangu nawajibu hata kama ni Hi nakagua id ngeni tu

I like this..lol
 
Last edited by a moderator:
lol sio french kiss bhana hahaha afu mbona umewaita hao ili?

ha ha ha nimewaita wajue mpango uliopo kati yako na utafiti...
mi nilidhani ni mwalimu wako wa french kiss coz hata unapomtajia mazingira yanakuwa yaki hivyo hivyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom