Kwa wale waliofanya mazoezi ya Kegel na wakapona naombeni ushauri

Nini kinasababisha mpaka mtu awe na uhitaji wa hayo mazoezi?
* Kutokuweza kizuia mkojo usitoke

* Baada ya Kukojoa matone yanaendekea kudondoka ndani ya chupi

* Kukosa nguvu za kiume

Kwa ufupi mazoezi ya kegel yanasadia kuimarisha misuli ya kibofu cha mkojo na kuongeza uwezo wa kufanya mapenzi.
 
Mazeozi ya Kegel si ni kwa wanawake? yanatumika kwa ajili ya kubana au kukaza misuli ya uke.

Hivi wanaume nao wanafanya hayo mazoezi? Unakaza misuli ya wapi kwa mwanaume?


Cc: mahondaw
 
@Fuqin,Mazoezi yana saidia sana haya. Hasa ukisha piga goli zako 3 hivi kinachoendelea ndio budani yenyewe sababu utakua una feel kama unataka kukojoa ila hukojoi. Mpaka uje kumwaga mtoto analalamika chini panawaka

Kingine kabla hujashiriki tendo hakikisha blood circulation kwenye mwili kwa hiyo siku ipo vizuri. Ikiwezekana siku ukiwa na game fanya mzoezi kidogo. Hiyo nayo ni moja ya mbinu ya kupata show kama ile ya Liverpool na Arsenal
 
Dogo sikia nikupe ukweli wetu wa wanaume ulivyo kwenye 6x6. Bao la 1 huwa halichukui zaidi ya dakika 3 kwa wanaume 98%. Yani kwa kifupi bao la kwanza huwa halihesabiki kwenye kumridhisha mwanamke labda kwenye kumimbisha maana ndio bao lenye volume kubwa ya manii.
Bao la kwanza unaweza kwenda hata dak 30. Style nzuri ni mwanamke aikalie, halafu inua magoti lakini nyao zikikanyaga godoro, ukulala flat humalizi hata dak 4, usijitingishe, mwache yeye akatike awezavyo wakati huo usimwangalie usoni na peleka mawazo yako mbali lakini ukihakikisha uume hausinyai.

Ukihisi bao linakuja unamwambia stop, unaweza zuia bao hata mara 5, na kuhakikisha mwenzako anaridhika, kwani hii ni moja ya style ambayo wanawake wengi wanardhika sababu wao ndio wanakontrol mchezo mzima na kujua wapi ajisugue na mboo kupata utamu zaidi.
 
Haya sasa , kwa wale wenye tabia ya kula nauli nawashauri muache 😂😂😂😂, maana dawa yenu imepatikana, mtanyooshwa hadi muombe poo 😂😂.......

Na wale wauzaji wa yale mavumbi ya kwa kina Fally Ipupa na Papaa Mobimba pia nawashauri waanze kutafuta shughuli mbadala ya kufanya mapemaaaa...🤣🤣🤣🤣

Mazoezi ya Kegel ndio ninachozumgumzia hapa...., kama ulikuwa mwanachama wa Chaputa, basi usijali, fanya KG.

Ili uweze kufanya mazoezi haya inabidi uutambue msuli wako wa Pc (pc muscle), jinsi ya kuujua fanya hivi, wakati umeenda haja ndogo, bana mkojo katikati ya kukojoa, ule msuli utakaoutumia kukatisha mkojo usiendelee kutoka ndio msuli wako wa pc.
Namna nyingine ya kuujua msuli wako huu ni wakati umeenda haja kubwa, pale wakati unamaliza haja kubwa, kuna msuli ambao hubana ile 'ringi' ili iweze kukata 'gogo', ule msuli uaokusadia kukata lile ’gogo’ ni msuli wako wa pc. Sasa umeshaujua msuli huu, tunaingia hatua ya mazoezi yenyewe.
Ili uweze kufanya haya mazoezi inabidi ujue namna ya kubana na kuachia msuli wa pc. Unabanaje? ni rahisi sana, fanya kama unavyofanya wakati wa kukatisha mkojo au wakati unakata gogo, hicho kitendo ndio tunaita kubana msuli wa pc. (Muhimu: Hutumii mkono wa kidole kubana). Mazoezi yenyewe sasa yako hivi:-

- Bana msuli wako wa pc kwa sekunde 10, kisha uachie. (Mwanzoni utapata tabu kuubana ila kadri unavyozoea itakuwa rahisi zaidi).
-Subiri sekunde 20 zipite, kisha bana tena kwa sekunde 10 na uachie.
  • Rudia huo mzunguko wa kubana kwa sekunde 10 na kupumzika kwa sekunde 20, rudia hadi uwe umefanya mizunguko 10. (Tumia stop watch ya simu kufanya hivi)
  • Ukishamaliza mizunguko 10, bana na kuachia msuli wa pc kwa haraka haraka kwa muda wa sekunde 10, na hapo umemaliza session moja ya mazoezi.
  • Siku inayofuta pumzika usifanye, hadi kesho yake tena, yaani uwe unaruka siku moja moja.
  • Matokea baadhi utaanza kuyahisi almost immediately, ila itabidi usubiri wiki kadhaa kuona matokea, matokeo halisi unaweza ukayaona baada ya miezi 6.
Best of luck
 
Okay ngoja nifanye maana kuna mke wa mtu nimepanga kupita nae This year Mumewe yupo Dodoma familia kaiacha huku
All the best
JamiiForums721497002.jpg
 
Back
Top Bottom