Faida ya kegel na jinsi ya kufanya mazoezi ya kegel (wanaume)

Jun 5, 2023
12
28
FAIDA YA KEGEL NA JINSI,YA KUFANYA MAZOEZI YA KEGEL (Wanaume)

Kufanya mazoezi ya Kegel ni muhimu kwa kila mwanaume, nasema hivi kwa sababu ni zoezi ambalo kila aliyelifanya mara kwa mara ndani ya wiki tatu basi ameweza kuwa na utofauti mkubwa tofauti na mwanzo.

Nasisitiza kuendelea kufanya Kegel Exercises kwa sababu zifuatazo;

1: Ni zoezi linalochukua muda kidogo sana hata kwa dakika tano tu pia unaweza kulifanya popote hata kama upo ofisini I will show you how to exercise

2: Kegel ni kwa watu wa rika zote na jinsia zote ila kwa mwanaume ni kwamba inaimarisha nyonga, kukaza misuri ya uume na kuufanya usimame haswaa unapokuwa na msisimko wa tendo la ndoa

3: Inathibiti ukuaji wa tezi wa dume na kuondoa uwezekano kabisa wa kutokupata tatizo la kuvimba tezi dume na maumivu ya kibofu

4: Kama unashindwa kujizuia kufika kileleni, anza leo mazoezi ya kegel kisha uone umahiri wako kitandani utakavyoongezeka

5: Kegel inakuwezesha kufungua na kufunga kwa mishipa ya artery na vena katika kusafirisha damu kwenye misuri ya uume hivyo kukupa uhakika wa kufanya vizuri uwapo faragha.

JINSI YA KUFANYA KEGEL EXERCISES

i. Ukiwa umesimama au umekaa, legeza viungo vyako vyote vya mwili, usikaze makalio wala misuli yako ya miguu au ya tumbo. Kaza misuli yako ya uvungu wa sehemu nyeti kama vile unazuia mkojo usitoke. Ukiwa bado umeikaza misuli hiyo, hesabu sekunde 3 hadi tano kisha ilegeze (ukiweza kuhesabu sekunde zaidi ni vizuri zaidi).

ii. Pia unaweza kuifanya kegel exercises asubuhi unapoamka au muda wowote ukiwa umepumzika kwa kufanya hivi.

Lala chali kisha kunja miguu yako na hakikisha mikono yako inagusa visigino vya miguu, nyanyua kiuno chako juu mpaka uhisi misuli ya makalio imebana kwa sekunde 15 shuka taratibu kisha relax halafu nyanyua tena kiuno (rudia zoezi angalau mara 15 asubuhi na usiku) kama una muda unaweza kufanya maradufu zaidi.

Tahadhari! Zingatia kunywa maji ya kutosha unapomaliza zoezi, hii inakusaidia misuri iimarike zaidi.
IMG_20230531_195911.jpg
 
Tahadhari! Zingatia kunywa maji ya kutosha unapomaliza zoezi, hii inakusaidia misuri iimarike zaidi.View attachment 2647616
Nimejaribu naona naishia Kujamba tu hivyo nimeamua niache nisije Kulazimisha na nikajikuta sasa Nakunya kabisa.
 
Ni kweli kabisa mkuu nilifanya hii kitu kwa sasa uwezo kitandani upo juu sana maana kwa sasa naweza kuunga bao 2 wakati mwanzo ilikuwa nikienda dk 25-28 la kwanza inabidi nivute pumzi kama 30 min hivi ili nitafute la pili na kuendelea
Kiukweli Ni Jambo unaloweza kulichukulia poa Ila kwa kiwango Fulani Lina positive impact katika miili yetu hasa maumbile yetu .. na Ni vizuri hata muda wa haja ndogo usikojoe moja kwa moja Kama mbuzi Ila unazuia hata Mara mbili tatu
 
Mbona minafanya sipati matokeo
HuweZi kuona matokeo kwa haraka kutokana na asili ya mwili wako binafsi lakini Kiukweli Ni Jambo unaloweza kulichukulia poa Ila kwa kiwango Fulani Lina positive impact katika miili yetu hasa maumbile yetu .. na Ni vizuri hata muda wa haja ndogo usikojoe moja kwa moja Kama mbuzi Ila unazuia hata Mara mbili tatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom