Illakwahhi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 465
- 744
- Thread starter
- #81
OkAsante kwa kuniongezea maarifa mkuu
OkAsante kwa kuniongezea maarifa mkuu
Dunia kuizunguka juaNa nini kinasababisha usiku na mchana
Passport ipo mkuu wewe jirushe kutoka ghorofaniVY canis majoris
Nataka kwenda huko...![]()
![]()
![]()
![]()
Passport na visa ninayo...
Dunia inamwisho ila space its infinity,mpaka sasa hakuna mwisho wa universe na wanasayansi wanasema kwamba its expanding into the space at speed of light,like Bible said God stretches out heaven like curtainMkuu naona umeamua kuwa mbuni kichwa mchangani
Its easy to see using Hubble telescopeUkiweza kuona nyumba za wenzako haitakupa taabu kujua na wewe uko kwenye mjengo wa aina gani ukizingatia majengo yenyewe ni ujenzi wa aina tatu kuu.
Nimeshajibu mkuu kwenye tafuta hapoumejibu kisiasa,jibu vizuri.. we huoni hapo kuna picha ya garaxy yetu so wameimade tu kutoka kwenye vichwa vyao..?
Ni kweli ila Andromeda ni kubwa kidogoGallaxy yetu haina tofauti saana na andromeda japo jirani yetu ni mkubwa..hiyo ni artist impression siyo picha halisi
Hahahahaumewa
Umewai kupanda ndege mkuu haya majibu yote utayapata ukipanda ndege plane
Miaka bil 3 ijayoView attachment 613164
Jirani yetu(Andromeda) ambaye tunasogeleana hatimae tutaungana na kutengeneza gallaxy mpya..lakini sio leo hii harusi ni baada mamilioni ya miaka.
Nishajibu mkuuMwagika basi maana mafuvu yetu yanapishana ugumu,kumbuka hili bara letu ndio lililotoa hawa mahomos..erectus,habilis,na labda sexuals.
God is greatMungu ni mungu tu
Yaah its infinityUwezo wa mungu hauna mwisho.jumaa kariim
Tuko kwenye Galaxy husika kwahy ni ngumu kuchora ramani halisi kwan tuko within,ila hizi zingine zina mashikoSio hiyo tu, sema hizo.. hizo zote ni artist impression hakuna real picture , kama ipo nionyeshe
Aingie tyuYanini bundasliga ingia hubble telescope deep deep space. Uzione
Hyo ni Huble space telescope iko angani inachukua hizo picha,ni kama darubini Kali yenye uwezo mkubwa ,mambo ya kujua nyota ziko umbali gani mainly wana deal na mwanga unaotolewa na nyota wakat mwingine nitaandaa Uzi mwingine haya mambo yanahitaji ufafanuzi,so wait...Kwa mara ya kwanza umenifanya nifikirie tofauti na vile nilivyojifunza kuhusu the universe. You might have a point if somebody rethink deeply.
Swali la kujiuliza hizo pics za umbali wa thousands of kms from unkown source towards our galaxy zimepigwa kutokea wapi.? Na kama ni kutoka katika spaceships na setelite hivyo vyombo vilichukua muda gani kufika huo umbali wa thousands of km?
Nitarudi
Obstacle is time and distance ukizingatia maisha ya binadamu ni mafupi,uchambuzi huo unafanywa kwa darubini zilizo na uwezo mkubwa zilizoko angani kwahy elimu hyo ni halisi kabixaKama si fiction hii elimu ya anga basi itakuwa ni elimu ambayo binadamu tumefundishwa na viumbe either vya kiroho ama viumbe toka galaxy zingine. Na si kwa maendeleo yetu ya teknolojia tiliyoifikia mpaka sasa.
YaahKumbe tusindharau kiumbe mdogo kama sisimizi.
Asante mkuuHii Hubble telescope ndio imetuwezesha wanaadamu kuangalia deep field kwa sababu telescopes zetu za ardhini zilikuwa zinasumbuliwa na hewa ni sawasawa na kuangalia juu huku ukiwa chini ya swimming pool.
Kwa hiyo ikaonekana ili kupata clear images ni bora kupeleka telescope kwenye space. View attachment 613427
Kwann mkuuDuh muda mwingine haya mambo unaweza kuanza kupachukia duniani maana yanatisha