Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Nilikuwa namaanisha dunia yetu.
Mlipuko huo ndo tunaita supernova ambayo ni imbalance ya internal and external pressure,sasa ikilipuka itasambaza energy yake na mwanga katika sehemu kubwa ya galaxy na huku duniani mlipuko huo utaleta madini mbalimbali kama gold
 
Bila Hubble Telescope tusingepata picha clear kama hizi,ambazo zinaonyesha nyota zikizaliwa katikati ya vumbi na gesi katika Eagle Nebula
View attachment 616971 s
Ni kweli mungu muumba wa vyote ila pia sayansi inavumbua maajabu haya katika ulimwengu huu wa damu na nyama
labda tu nibaki na pointi ya mungu kuumba dunia vinginevyo no.ingezunguka kweli siku nyingine na sisi tungejikuta south africa,nyingine ni porojo za kidhungu tu.
 
Mlipuko huo ndo tunaita supernova ambayo ni imbalance ya internal and external pressure,sasa ikilipuka itasambaza energy yake na mwanga katika sehemu kubwa ya galaxy na huku duniani mlipuko huo utaleta madini mbalimbali kama gold
Kwa mass ya nyota yetu haitalipuka in supernova style itapitia stage gani?
 
We jamaa ujinga wako ni wa kiwango cha kipekee kabisa..! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] halaf kajaza notes kibao.
 
Kwa mass ya nyota yetu haitalipuka in supernova style itapitia stage gani?
Supernova hutokea kwa nyota zenye mass kubwa sana,jua letu lina mass ndogo sana na haliwezi kuwa supernova instead hydrogen itakapokwisha itabadilika na kuwa red giant ikiimeza dunia na sayari nyingine kama mercury,earth etc
 
Hebu fafanua hii dark energy
Dark energy its unknown form of energy ambayo inacause universe to expand to itself!, this expansion is faster than speed of light ingawa Einstein theory of relativity inapinga hilo but its bit complicated ntaleta Uzi kuhusu hili,ila universe inatanuka kwa zaidi ya speed ya light na dark energy ndio responsible for all that expansion
 
Anza na gravity waves...hebu tufafanulie katika lugha ambayo wasomaji watakuelewa.
5147b147036e88fb37c8e6e1e09afc5a.jpg
 
Back
Top Bottom