Illakwahhi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 465
- 744
- Thread starter
- #141
[emoji120]atleast you are in [emoji818] zingine mbwembwe tu
[emoji120]atleast you are in [emoji818] zingine mbwembwe tu
[emoji11]
PamojaDuh mkuu umenikamata mno, this is Jf home of great thinkers.
Galaxy yetu inaitwa Milki way ambapo ndipo inapatikana solar system yetu yenye sayari tisa huku dunia tuishiyo ni ya tatu kutoka kwenye jua. Hivyo basi mbali na kuwepo solar system kwenye Galaxy yetu pia kuna mipangilio mingine mingi ifananayo na solar system yetu ili kukamilisha Galaxy.Unasema kila Galaxy ina mamilioni ya sayari na nyota. Mkuu, mbona tuliambiwa sayari zipo tisa (9) tu. Nifafanulie hapo
Galaxy nazo zipo nyingi pia au? Hili somo gum sana aiseeGalaxy yetu inaitwa Milki way ambapo ndipo inapatikana solar system yetu yenye sayari tisa huku dunia tuishiyo ni ya tatu kutoka kwenye jua. Hivyo basi mbali na kuwepo solar system kwenye Galaxy yetu pia kuna mipangilio mingine mingi ifananayo na solar system yetu ili kukamilisha Galaxy.
Ndio mkuu Galaxy zipo nyingi tu kama atapatika mtaalam hapa akatutajia japo chache kwa majina itakua vyema sana.Galaxy nazo zipo nyingi pia au? Hili somo gum sana aisee
Sayari Tisa tunazungumzia solar system mbavyo ni vitu vyote vinazunguka Nyota jua,kwahy jua ni nyota moja kati ya nyota bilioni 400 kwenye Galaxy yetu ya milky way maana yake jua nasayari zake ni kama kadoti kadoti kalichopo ndani ya milky way galaxyUnasema kila Galaxy ina mamilioni ya sayari na nyota. Mkuu, mbona tuliambiwa sayari zipo tisa (9) tu. Nifafanulie hapo
Upepo unatokana na mgandamizo wa pressure kwenye hewa ya nitrogen na oksijeni hewa hii ikipata mgandamizo ,there is movement from high low low pressure area thus wind is generated from concept for more:Hivi huu upepo huwa unatokea Wapi nje ya dunia au ndani ya dunia?
Na kama ndani ya dunia mbona haupo muda wote?
Galaxy kwenye observable universe yaani ulimwengu unaonekana ziko bil 400 ambayo ni umbali wa 93 light years,ila ukizungumzia ni ulimwengu usiojulikana wajuzi wanasema ziko kama trilioni 2Galaxy nazo zipo nyingi pia au? Hili somo gum sana aisee
Ndio mkuu Galaxy zipo nyingi tu kama atapatika mtaalam hapa akatutajia japo chache kwa majina itakua vyema sana.
Watakua waligugo mkuu😀😀😱hiyo picha ya milky way galaxy imepigwaje wkt hakuna kifaa kilichotoka nje ya galaxy yetu..?
vitu vingine ni stori tuhiyo picha ya milky way galaxy imepigwaje wkt hakuna kifaa kilichotoka nje ya galaxy yetu..?
Ok, je hizo galaxies zingine nazo inamana zina JUA pia au jua lipo kwenye Milk way tu?Sayari Tisa tunazungumzia solar system mbavyo ni vitu vyote vinazunguka Nyota jua,kwahy jua ni nyota moja kati ya nyota bilioni 400 kwenye Galaxy yetu ya milky way maana yake jua nasayari zake ni kama kadoti kadoti kalichopo ndani ya milky way galaxy
Astronomers kuna kipindi waliilengesha Hubble Telescope kwenye kaeneo ambako kalionekana hakana mwanga wowote kama kujaribu, tazama kitu walichokionaGalaxy nazo zipo nyingi pia au? Hili somo gum sana aisee
Nyota zipo katika kila galaxy tofauti ni kuna nyota za aina mbali mbali kama hii ya kwetu itafikia stage yake ya mwisho na kuanza kutumeza.Ok, je hizo galaxies zingine nazo inamana zina JUA pia au jua lipo kwenye Milk way tu?