Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Olympus mons ndio mlima mkubwa kuliko yoote katika solar system, kilimanjaro na everest zikichanganywa hazifikii huu mlima.uko kwenye sayari ya mars
Mkuu kimo cha mlima huesabiwa kutokea usawa wa bahari, nini starting poit ya mlima huo?
 
Back
Top Bottom