Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Orion belt kiunoni maarufu km mwindaji ktk uhalisia wa kuchorwa,ktk kundi ili kuna nyata maarufu betelgeuse ipo umbal wa mwendo mwanga kwa mwaka (light-years) LY 700.
 

Attachments

  • 1508956725718.jpg
    1508956725718.jpg
    18.8 KB · Views: 68
Sombrero galaxy thanks to hubble telescope hii spiral galaxy ina matrilioni ya nyota yakilisha supermassive black hole katikati yake.
M104-1024x1024.jpg
 
Nenda BBC ndani ya week imepita wamegundua sauti ya gravity waves iliyotokea miaka mil 130 iliyopita ndo Leo imetufikia
Hiyo Sauti inasafiri vipi wakati wataalam wanasema nje ya dunia sauti haiwezi kusafiri kitokakana na hakuna mawimbi ya kusafirisha Sauti inakuwaje?
 
Kifo cha nyota ni tukio hatari kabisa kama mabaki ya nyota hii katika mlipuko wa supernova,elements zinavugumizwa kwenye space katika mwendokasi mkali kabisa.
images.jpg
 
Black hole pale Orion inaweza ingia majua matatu bila kugonga ukingo/ukuta wa back hole,kuna watu fulani kwa iman ya kidini wanaamin sie wanadam siku ya kupaa kwenda mbinguni tutapita hapo kwenye kundi la Orion..

Soma Ayub 38:31,32 hapo pametajwa makundi mawili ya nyota KILIMIA NA ORIONI.
Tutaona kilimia ktk muonekano

Kilimia ndo SUBARU kwa kijapan
 

Attachments

  • 1508961265268.jpg
    1508961265268.jpg
    8 KB · Views: 74
kuna watu fulani kwa iman ya kidini wanaamin sie wanadam siku ya kupaa kwenda mbinguni tutapita hapo kwenye kundi la Orion..
Kuna ukweli fulani kwani sisi soote ttumezaliwa na nyota tumetokana na nyota kwa nguvu za muumba.
 
Kilimia,Pleaides,Subaru,seven siters[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 

Attachments

  • 1508962037597.jpg
    1508962037597.jpg
    10 KB · Views: 76
elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.

dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba

jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.

tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani

hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
Nakuona KAPULYA MDADISI upo kazini

Kama dunia sio duara kwanini ukiwa baharini ama ziwani ama mbugani ukiangalia mbele unaona mawingu yanashuka chini au kama kuna meli inakuja unakuwa unaona bendera mara inakuwa kama inapanda mlima mpaka inapokukaribia inakuw yote umeiona ama kinyume chake inapokuwa inakwenda inafika mahali huioniyaani kama inashuka
 
Nimegain something new

Niliwahi fundishwa kuwa jua ndo nyota kubwa zaidi na hakuna nyota ingine sasa hiyo nyota ya VY CANIS MAJOR ni nini mbona inaiacha jua palefu sana.?
 
Back
Top Bottom