semacho ni sahihi kabisa.....
jinsi wanawake walivyokuwa wengi, tena warembo na wabichi na wanavyotafuta ndoa, naamini ni mwehu tu anaeweza kuoa mwanamke aliezaa. Ni kujitakia stress zisizo na msingi. Ila kama ni kula bata nae tu kwa muda no problem, hii huwa tunafanya.
Pia wanawake wanaozaa na watu wasioaminika wamejitakia hivyo kugongwa na kuachwa is what they deserve.
Hii inawahusu sana wanaume wa kichaga....mbadilike.
Nimeshajionea kwa rafiki zangu kama 3.
Wachaga hawakubali watoto atakaowakuta nao mwanamke.
Ila wazaramo...nawapa hongera
Ujue taasisi ya ndoa hata ktk vitabu vya dini inaanza na Baraka za wazazi...
Sasa kabisa nianze kuwa kichwa ngumu kwa mama kisa mwanamke ambae alishindwa jiheshimu hadi akadungwa mimba????huo upuuzi sijaufanya bado....
Yaani na ninavochukia watoto nje ya ndoa ndo kabisa.
nashukuru kwa kunielekeza vizuri....nashukuru kuelewa mkuu
Hata kama mama ana kazi jukumu la kutunza familia linaeleweka ni la mwanaume....
Duu!!! Wanaume ni wabinafi sana kwani Mimi nalea watoto 3 wa mwenzangu na wanatabia za ajabu mfano wananiibia nguo, ela na kuwapelekea mama Zhao then kibaya zaidi huyo mwanaume anawasiliana na mke aliyezaa naye. Nikimuuliza ananijibu eti wanawasiliana kwa ajili ya watoto. Imenichosha sana na wanapigiana simu wakati wa usiku tukiwa tumelala.
Mfano kuna rafiki angu nimekua nae na kwa sasa anajishughulisha na biashara hapa Dar, ki umri ni miaka 28 ivi ila mpaka sasa sijamwelewa maamuz yake maaana anaishi na mwanamke aliyemzidi ki umri na anawatoto wa5 ivi ambao co wa mshikaji
hapo anaeolewa si mwanamke bali ni chapaa yake! Wanaume wa ukweli haweza kuoa kitu used chenye ushahidi.
Hujapenda wewe
Huyu mjomba wangu alikubali kuoa.lakini harusi yake hakuna ndugu yake aliyehudhuria.inahitaji ujasiri sana
Mmmh kuna namna hapo sio bure
mwanamke kama unataka maisha mazuri ktk ndoa pamoja na wanao, tunza mbuchuchu yako
Tofauti ni kuwa wanawake wanazaa, hivyo uchakavu wa viungo ni mkubwa kuliko kwa wanaune.
Me binafsi cpendi, labda km wote tulishawai kuzaa, ila icje ikawa first born wangu yy kwake ni last born. Lkn inategemea ulivo zimika, sema tatizo pale ambapo baba yao hao watoto yupo, Unakuta anawacliana naye kuhusu maendeleo ya watoto af kamsevu baba flan au ukamkutanae sehemu wanaongelea mambo ya watoto wao, pyuuu hapo waume lazma mpo wawili. Hicho me ndo kinanifanya nicwaamini hao au unakuta watoto wa tatu kila mmoja ana baba yake diiiiii! Hapo inabidi atafute tu veteran mwenzake.
Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika
ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba utaishi na mwanangu
yaani wao uchukulia kawaida sana sisi kuishi na watoto wao bila kuuliza chochote na wao huona sinkikwazo chochote na pindi utakapokionesha basi unaonekana Mkatili unaonekana wewe sio mke mwema(JAPO KUNA WANAWAKE HUKATAA ) ila sio wengi
SASA IJE SISI NDO TUNA WATOTO
wanaume wengi hukataa kuoa mwanamke mwenye mtoto KWA MSISITIZO na hata kama akikubali husema basi mtoto wako akae kwa bibi au baba ake sijui atawajibika
na mambo mengi hapo katikati
SASA SWALI NI JE KWANINI NYIE MNAONA SISI KUKAA NA WATOTO WENU NI RAHISI LAKINI NYINYI KUKAA NA WETU NI ISSUE tena kubwa sana????