Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Uchumi pamoja na wivu wa mapenzi, ukioa mke mwenye mtoto upo kwenye mitala
 
Linapokuja suala zima la mapenzi na mahusiano hakina usawa baina ya wanaume na wanawake, hii inajulikana wazii..
Mfumo dume umetawala..ukiwapiku wanakua wakali kama pilipili
 
Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika.

Ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba utaishi na mwanangu.

Yaani wao uchukulia kawaida sana sisi kuishi na watoto wao bila kuuliza chochote na wao huona sinkikwazo chochote na pindi utakapokionesha basi unaonekana Mkatili unaonekana wewe sio mke mwema(JAPO KUNA WANAWAKE HUKATAA ) ila sio wengi.

SASA IJE SISI NDO TUNA WATOTO
Wanaume wengi hukataa kuoa mwanamke mwenye mtoto KWA MSISITIZO na hata kama akikubali husema basi mtoto wako akae kwa bibi au baba ake sijui atawajibika na mambo mengi hapo katikati.

SASA SWALI NI JE KWANINI NYIE MNAONA SISI KUKAA NA WATOTO WENU NI RAHISI LAKINI NYINYI KUKAA NA WETU NI ISSUE tena kubwa sana?
Pole single maza
 
Back
Top Bottom