Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,429
Yaani Mgirik kanivunja nguvu kabisa.
Najua wanaume watavutia upande wao.
Ila kiukweli tatizo kubwa lipo kwa mama zao.
Mgirik kasema kule juu, endapo utang'ang'ania kuoa mke mwenye mtoto, na nduguze hawamtaki.....akisafiri je, na kama unavyojua gubu la mawifi....ndio maana eti anaoa mke kigori.
.....Mimi nakataa....ukimpenda mwanamke, hata mama yako aongee mpaka apasuke mdomo, kama mmependana, watagonga mwamba tu
yawezekana unajua ila hujaelewa na unasikia lakn hujaona.
Hakuna kitu kigumu kama kutengwa na familiya yako. Usiangalie leo bali angalia hata kesho,,. Ipo siku mm ntakosa kuelewana na mke wangu huyo ndipo hapo gunia la misumali linaponiangukia.
Last edited by a moderator: