Una akili kama Maria Magdalena...
Heri ya mwaka mpya luv.
Kwa nini aage? We unatishika na comment za jf? Hamna kitu....huku mtaani singo mothers wanaolewa kila leo
Acha danganya hapa,
Idadi kubwa ya wanaolewa mtaani sio masingle mother
Na single maza ukiona ameolewa hiyo ndoa mara nyingi hazidumu!
hili swala hata mimi sikubaliani nalo kulea watoto wasiokuwa wangu
Kwa nini aage? We unatishika na comment za jf? Hamna kitu....huku mtaani singo mothers wanaolewa kila leo
Ni mtaa gani huo wa singo mothers?
Huku kwetu
Acha danganya hapa,
Idadi kubwa ya wanaolewa mtaani sio masingle mother
Na single maza ukiona ameolewa hiyo ndoa mara nyingi hazidumu!
Life is freedom
Na kwa Africa wanaume weng hatupend kuoa wanawake wenye watoto
Na wanawake wengi wanakubali kulea watoto wasio wao.
Lakini hiyo haimanishi kuwa wanaume wakubali kuoa wanawake wenye watoto.
Ikitokea wamekubaliana kuishi pamoja na watoto wao ...vizuri...
It's just a matter of making choice,but don't make your choice a law everyone must follow.
There is room for everyone to choose his/her favorite partner
Haujui Kiingereza!
Haujui Kiingereza!
Nahitimisha hivi:
Kila mwanaume aoe mwanamke aliezaa nae tu
Mwanaume aliewahi kuzaa kabla hajaoa asioe mwanamke asie na mtoto, aoe ambae nae alizaa kabla.
Wasio na watoto waoane wenyewe kwa wenyewe.
PMU, kujisogeza karibu tuishi zisiwepo.
Usichopenda kufanyiwa usimfamyie mwenzako.
Mabadiliko yanaanza na sisi.
wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake waliozaa sababu ya jamii wanawaongelea vibaya sana hawa ma single mother.........
sasa wanaume inabidi pia muanze kuogopa kuwaoa wanawake ambao wametolewa bikra na wanaume wengine......wanawake ambao walishaonyesha utupu wao kwa wanaume wengine........muanze na hili sasa.... hapa ndiyo tutajua kweli wanaume waoga.......otherwise mnaogopa challenges ambazo zinatatulika tu.........be man enough.....kile ambacho wanaume wengine wanaogopa wew fanya.....tena be positive......utafanikiwa.....
Njoo basi kule ndani nikupe salamu za mwaka mpya.
hekima na busara za wanandoa ndizo zinazofanya ndoa hizo kudumu ama kutodumu.....lakini siyo status......kwamba huyu bikra...huyu kazaa nje....huyu kabila fulani......huyu mbaya......bali ni .....HEKIMA NA BUSARA....
hata mfalme Suleiman aliomba hekima sababu hekima ndiyo chanzo cha mambo mazuri katika maisha yoyote yale ya binadam........