Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika

ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba utaishi na mwanangu

yaani wao uchukulia kawaida sana sisi kuishi na watoto wao bila kuuliza chochote na wao huona sinkikwazo chochote na pindi utakapokionesha basi unaonekana Mkatili unaonekana wewe sio mke mwema(JAPO KUNA WANAWAKE HUKATAA ) ila sio wengi

SASA IJE SISI NDO TUNA WATOTO
wanaume wengi hukataa kuoa mwanamke mwenye mtoto KWA MSISITIZO na hata kama akikubali husema basi mtoto wako akae kwa bibi au baba ake sijui atawajibika
na mambo mengi hapo katikati

SASA SWALI NI JE KWANINI NYIE MNAONA SISI KUKAA NA WATOTO WENU NI RAHISI LAKINI NYINYI KUKAA NA WETU NI ISSUE tena kubwa sana????

Mi sijaolewa japo niko above 30 ila kama ningelikuwa na mtoto alafu huyu baba wa mtoto ndio hivyo tena sikogo naye ukweli ni kwamba huyu anayenioa sidhani kama kutakuwa na kuishi kwa amani coz always utamkumbuka mwanao ukute auishi naye kwa huyu mume alafu wewe ni kupika maanjumati mazuri mazuri na kupakulia watoto wa mwenzio uliowakuta wale washibe wkt mwanao huko uliko ujui kama kala nbini leo na kashiba? Hawa wa huyu mwanaume uwezi waondoa coz wako kwa baba yao hata ukifanya vituko baba yao awachuki haisaidii maana iko siku watakuwa wakubwa na baba atakuwa kimoja na wanae. Mimi nashauri mwanamke kama ilitokea ukazaa na mtu na ndio hivyo tena kilichobaki fight life for ur child sio kufight kuolewa maana hakuna la maana zaidi ya kwenda kujitengenezea ugonjwa wa moyo.
 
Safi, umezungumzia kulea watoto tu, vp kigegedwa je? We unafikiri watu wanahitaj ndoa kwaa jiri ya watoto tu? Biblia inasema; kwasababu ya zinaa kila mtu awe na mke au mme haijasema watoto. Kuweni makini na maamuzi yenu, hata wanaume tunajishauri kuoa kwasababi ya presure hzo hzo lkn hatuna sababu ya kukwepa changamoto, kabiriana nazo.
 
kwani wewe huwezi kumla uliezaa nae anytime??

hili ndo tatizo la wanawake waa kiafrica...USHINDANI NA WANAUME...
kumlanaweza ila kama niliyemzalisha mke wangu..ila kama hajaolewa anatanga tanga ntamla tu..ila kama nilimzalisha akaolewa na akazaa tena huko..wala sijisumbui
 
Kwa kawaida inafahamika mwanaume ndo bread winner.....inakuwa ngumu mtu anajituma kutafuta pesa ili atunze mtoto wa mwanaume mwenzie lakini yeye akiwa na mtoto anachukulia simple kwa sababu pesa anatafuta yeye we mwanamke huwezi kuwa na sauti sana
Una akili kama Maria Magdalena...

Heri ya mwaka mpya luv.
 
Mi sijaolewa japo niko above 30 ila kama ningelikuwa na mtoto alafu huyu baba wa mtoto ndio hivyo tena sikogo naye ukweli ni kwamba huyu anayenioa sidhani kama kutakuwa na kuishi kwa amani coz always utamkumbuka mwanao ukute auishi naye kwa huyu mume alafu wewe ni kupika maanjumati mazuri mazuri na kupakulia watoto wa mwenzio uliowakuta wale washibe wkt mwanao huko uliko ujui kama kala nbini leo na kashiba? Hawa wa huyu mwanaume uwezi waondoa coz wako kwa baba yao hata ukifanya vituko baba yao awachuki haisaidii maana iko siku watakuwa wakubwa na baba atakuwa kimoja na wanae. Mimi nashauri mwanamke kama ilitokea ukazaa na mtu na ndio hivyo tena kilichobaki fight life for ur child sio kufight kuolewa maana hakuna la maana zaidi ya kwenda kujitengenezea ugonjwa wa moyo.

Heri yako wewe umelelewa vizuri..hongera kwa wazazi wako
 
Safi, umezungumzia kulea watoto tu, vp kigegedwa je? We unafikiri watu wanahitaj ndoa kwaa jiri ya watoto tu? Biblia inasema; kwasababu ya zinaa kila mtu awe na mke au mme haijasema watoto. Kuweni makini na maamuzi yenu, hata wanaume tunajishauri kuoa kwasababi ya presure hzo hzo lkn hatuna sababu ya kukwepa changamoto, kabiriana nazo.

Mkuu hiyo nayo ni case nyingine...Dada amejibu hoja iliyopo mezani na sio hio ulioleta wewe.
 
Kwa nini nioe mwanamke mwenye mtoto?!!!Kwangu hii ni sababu tosha ya kumdisqualify kuwa mke wangu.
Yaani hata awe mzuri zaidi ya Cleopatra kama ana mtoto tayari siwezi oa.

kwa mfano ukazaa na mwanamke alafu usimuoe ukachukua mtoto wako utaoa tena??
 
Aisee kwa coment hizi kama mtu ana mtoto ajaolewa
AAGE MASHINDANO
 
Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika

ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba utaishi na mwanangu

yaani wao uchukulia kawaida sana sisi kuishi na watoto wao bila kuuliza chochote na wao huona sinkikwazo chochote na pindi utakapokionesha basi unaonekana Mkatili unaonekana wewe sio mke mwema(JAPO KUNA WANAWAKE HUKATAA ) ila sio wengi

SASA IJE SISI NDO TUNA WATOTO
wanaume wengi hukataa kuoa mwanamke mwenye mtoto KWA MSISITIZO na hata kama akikubali husema basi mtoto wako akae kwa bibi au baba ake sijui atawajibika
na mambo mengi hapo katikati

SASA SWALI NI JE KWANINI NYIE MNAONA SISI KUKAA NA WATOTO WENU NI RAHISI LAKINI NYINYI KUKAA NA WETU NI ISSUE tena kubwa sana????

Kukaa na mtoto wa mwanaume mwenzako sio kitu rahisi, na pia si jambo rahisi kwa mwanaume kuacha mtoto wake akaishi kwa baba mwingine hata kama alimbebesha mimba mwanamke bila mategemeo ya kumuoa.
 
poa konda....,
 
Back
Top Bottom