masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,385
- 19,309
- Thread starter
- #181
HERI YA MWAKA MPYA
kesho nitapitia coment zote.....niliwamis
kesho nitapitia coment zote.....niliwamis
Kamwe siwezi ishi na mwanamke aliyezaa tayari kwengine huko
Kwanza wanawake wa siku hizi wengi wana akili za kushikiwa na rahic hata kupasha kiporo na baba mtoto wake
Pili dunia ya leo mzazi na mwanae na ndiye rafiki wa kweli, sasa utalea mtoto wa mwanaume mwenzio tena unaangaika kuchapa kazi kwa juhud na kumuendeleza mwisho wa siku thamani yako aiwez kuwa kubwa kuliko ya baba yake aliyemzaa ingawa akumtunza hata kidogo.
Huwezi kufuta the fact kwamba he/she is his/ her biological father...km mtoto unamlea vizuri siku zote ata appreciate juhudi zako!....ni vizuri kumwambia baba yake halisi ajue he has got two fathers...ukimlea ipasavyo,atawathamini wote wawili...
Kisha mkuu usitutusi wanawake akili zetu sio za kushikiwa...sijui kwa nini lakini umekuja na huo msemo/umeona wanawake wangapi wenye akili za kushikiwa?lol
Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika
ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba utaishi na mwanangu
yaani wao uchukulia kawaida sana sisi kuishi na watoto wao bila kuuliza chochote na wao huona sinkikwazo chochote na pindi utakapokionesha basi unaonekana Mkatili unaonekana wewe sio mke mwema(JAPO KUNA WANAWAKE HUKATAA ) ila sio wengi
SASA IJE SISI NDO TUNA WATOTO
wanaume wengi hukataa kuoa mwanamke mwenye mtoto KWA MSISITIZO na hata kama akikubali husema basi mtoto wako akae kwa bibi au baba ake sijui atawajibika
na mambo mengi hapo katikati
SASA SWALI NI JE KWANINI NYIE MNAONA SISI KUKAA NA WATOTO WENU NI RAHISI LAKINI NYINYI KUKAA NA WETU NI ISSUE tena kubwa sana????
Narudia tena wanawake wa sikuhizi wengi wana akili za kushikiwa kataa ukubali sihitaji kukwambia utafit nimeufanya wapi na nimeufanyeje,
Kwanini awe na baba wawili!!? Lea mwenyewe peke yako then baba yake mzazi aje nufaika huyo unaemuita biological father, ila kwangu kamwe sitamkubili mwanamke aliyezalishwa.
Mwanaume wa kweli, halisia wa Kiafrika ni yule anayelea watoto wake full stop.
Eeeh kwa heri,naona haupo hapa for discussion.....mtu akikuchallenge kidogo unawaka...huwezi kuja kny forum km hii na kuja na stupid statement wanawake wa siku hizi wana akili za kushikiwa halafu ukiulizwa why umekuja na hii conclusion hutoi majibu?!.....
Halafu mbona mnatuletea watoto tunalea wakiwa wakubwa,wanalea mama zao halisi...ambao hawakuhangaika kny malezi yao? Au huoni anayenufaika ni mwingine hapo...au its ok for us to do this,nyie walaaaa...are you all wired differently from us?
Jibu hilo hapo kwa #Mwanamayu
Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika
ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba utaishi na mwanangu
yaani wao uchukulia kawaida sana sisi kuishi na watoto wao bila kuuliza chochote na wao huona sinkikwazo chochote na pindi utakapokionesha basi unaonekana Mkatili unaonekana wewe sio mke mwema(JAPO KUNA WANAWAKE HUKATAA ) ila sio wengi
SASA IJE SISI NDO TUNA WATOTO
wanaume wengi hukataa kuoa mwanamke mwenye mtoto KWA MSISITIZO na hata kama akikubali husema basi mtoto wako akae kwa bibi au baba ake sijui atawajibika
na mambo mengi hapo katikati
SASA SWALI NI JE KWANINI NYIE MNAONA SISI KUKAA NA WATOTO WENU NI RAHISI LAKINI NYINYI KUKAA NA WETU NI ISSUE tena kubwa sana????
Nina mtoto mmoja, njoo unifanyie nusra
Tofauti ni kuwa wanawake wanazaa, hivyo uchakavu wa viungo ni mkubwa kuliko kwa wanaune.Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika
SASA SWALI NI JE KWANINI NYIE MNAONA SISI KUKAA NA WATOTO WENU NI RAHISI LAKINI NYINYI KUKAA NI ISSUE tena kubwa sana????
Kwetu bado uchumi ni mzuri uchumi ukiwa mbaya kazi hakuna ardhi haipatikani mbona wanaume watawaowa tu wanawake wenye wtt hatavwatano cha muhimu wewe mwanamke uwe na pesa za kutosha. Kuna nchi nimeishi wanawake wenye watt wanaolewa bila shida as long as u ve money!
wanawake wenye watoto ni shidaaa!
Kwasababu aliyekuzalisha atakukula mda wowote
And siwezi kukaa na amani 100% wakat najua kuna mtu mkewangu hawezi kumnyima
Fullstop
Kuishi na mwanamke mwenye mtoto ni kazi sana, kwana wanawake wenzake watapinga kuona ndugu yao au mwanao anaoa mwanamke mwenye mtoto, hata ukiona mwanamke mkubwa umri ni shida wanawake hawapendani wao kwa wao, mwanamke ni rahis kurudisha mapenzi kwa aliyezaa naye hilo ndo linalowaumiza wengi ili hali matunzo yote yatakuwa kwa mwanaume, nitaoa mwanamke mwenye mtoto ambaye mzaz mwenzie hayupo duniani otherwise sitaoa mwanamke aliyezaa
Kila mtu atabeba msalaba wake, uroda umpe nan, me nije kulea toto