Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Mbona hata nyie mnawachukia watoto wetu..na mnaishi nao kishingo upande na kwa mateso makali........
 
weee! Thubutu yako! Yaan nitengane na wazaz wangu kwasababu ya mwanamke ambaye hakuujali uanamke wake?
Siwezi kuwatemea mate wazaz kiivyo. Sku mkianza kukumbushia na huyo mzaz mwenzako mm ntapumulia wapi?

Unataka niujali uanamke wangu kivipi?
Kama nilibakwa wakati natoka chuo je?
....kukumbushiana kupo, hata kama sio kwa baba yake.
 
Mfano kuna rafiki angu nimekua nae na kwa sasa anajishughulisha na biashara hapa Dar, ki umri ni miaka 28 ivi ila mpaka sasa sijamwelewa maamuz yake maaana anaishi na mwanamke aliyemzidi ki umri na anawatoto wa5 ivi ambao co wa mshikaji

Mwanamke huyoo ana Pesa????
Kama anapesa pigia mstari
 
Upepo tu huo.
Mangapi mnayatenda na hamuyaoni?
Unaniletea mwanamke mpaka kitandani, nimekaa kimya.
Ila kwenye chaguzi sie mawifi wabaya

Madame B lakn hayo niliyoongea hapo ni uongo? Hamyata
hamyatendi kwa mawifi zenu?

Achana na habar ya kukuletea mwanamke kitandan kwasababu hata mm sikukuta bikra
 
Last edited by a moderator:
Madame B hakuna na hakitatokea kitu kifanye mm nichukie ndugu zangu hivyo...

Na hii roho nimeitoa kwa my mom na Mzee huyu wa sasa.
My mom baada ya Mzee kufariki,ndugu wa baba walimnyang'anya kila kitu mama mpaka kijiko alichopewa kwao wakati wa send off...life was tough but she stood still na alipokutana na huyu Mzee mambo yakawa mazuri walau....accounts za bank watu wakajimilikisha(my dad was somehow rich)
Lakini kama wasemavyo waswahili "mtegemea cha ndugu hufa masikini" pamoja na hayo yote bado tuko close na ndugu hao na wengine mm binafsi nimewahudumia wakiwa wagonjwa mpaka mauti yanawakuta.....na most ya walioshupalia unyanyasaji wa mama mjane walikua wifi zake mama na mama mkwe wake,lakini huwezi amani my mom still helps them awezavyo.



So Madame B kwa scenario hiyo kidogo hapo juu unadhani naanzaje labda kusema eti nimependa mpaka niache msikiliza mwanamke aliyenitoa that far kisa mapenzi????

Pia naomba nikueleweshe kidogo.....falling deeply in love doesn't mean you've to do stupid things.....kwamba nikiacha msikiliza mama kwaajili yako ndo nakupenda,no huo ni undezi.

Sawa, wewe umetoka familia ya aina hiyo....je, wale waliotoka kwenye familia korofi ambayo tangu udogoni, watoto wanajua kuwa wazazi ni wakatili, esp kwa yule aliyezaliwa na kutupwa jalalani, unadhani huyu atakuja kumsikiliza mzazi wakati madanguro ndio yaliyomlea?
 
Last edited by a moderator:
Unataka niujali uanamke wangu kivipi?
Kama nilibakwa wakati natoka chuo je?
....kukumbushiana kupo, hata kama sio kwa baba yake.

ewaa! Sasa hapo ndio tunasema kila mtu aubebe mziko wake mwenyew,, usisingizie kubakwa kwan wote wenye watoto walibakwa?
 
Madame B lakn hayo niliyoongea hapo ni uongo? Hamyata
hamyatendi kwa mawifi zenu?

Achana na habar ya kukuletea mwanamke kitandan kwasababu hata mm sikukuta bikra

Tumeanza uchumba ukijua kuwa sina bikira, kwa hiyo umejua leo?
Kwanini usinikatae tangu awali....
Kumbuka mpenzi uliyemtoa bikra ni mke wa fulani kama vile mkeo alivyotolewa na mwingine.

Kama wewe mwanaume uamkaripia mkeo mbele ya dada zako, unategeme heshima itakuwepo?
 
Last edited by a moderator:
ewaa! Sasa hapo ndio tunasema kila mtu aubebe mziko wake mwenyew,, usisingizie kubakwa kwan wote wenye watoto walibakwa?

Basi na kama ndo hivo.....ukinikuta na mtoto lea, sitaki ngonjera zako
 
Tumeanza uchumba ukijua kuwa sina bikira, kwa hiyo umejua leo?
Kwanini usinikatae tangu awali....
Kumbuka mpenzi uliyemtoa bikra ni mke wa fulani kama vile mkeo alivyotolewa na mwingine.

Kama wewe mwanaume uamkaripia mkeo mbele ya dada zako, unategeme heshima itakuwepo?

mmmmh! Naona povu linaanza taratiiiibu, lakn bibie Madam B hujajibu swali langu.
Nmeuliza hvi hayo niliyoyasema hapo juu hamuwatendei mawifi zenu?.
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke huyoo ana Pesa????
Kama anapesa pigia mstari

Ndugu yangu angekua hata na elfu 50 nisingwshangaa... choka mbaya na jamaa ndo kampangia watoto wake chumba chao na yeye na huyo mama chumba chao.. na mtoto wa kwanza na wa pili wa Huyo mama jamaa anaweza oa kabisa
 
Mie mwanaume nilienae, amempokea mwanangu tangu yuko tumboni na mpaka leo hii ana 7 years niko nae mpaka mwanangu anajua kuwa yule baba yake....
Ila ngoma iko upande mwingine....mawifi waliweka ngumu, lakini mwisho wa siku, ilibidi wakubali matokeo maana wakinikuta nami kisiki cha mpingo.

Ila masai dada, MAWIFI na MAMA WAKWE NDO TATIZO.

baba yake halisi yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Huyu mjomba wangu alikubali kuoa.lakini harusi yake hakuna ndugu yake aliyehudhuria.inahitaji ujasiri sana

mimi hata ndugu asipokuja hainizuii kuendelea na chaguo langu maisha ni ya watu wawili na sio hao ndugu kwani hata wakija wataongeza nini au kupunguza?
 
Ndugu yangu angekua hata na elfu 50 nisingwshangaa... choka mbaya na jamaa ndo kampangia watoto wake chumba chao na yeye na huyo mama chumba chao.. na mtoto wa kwanza na wa pili wa Huyo mama jamaa anaweza oa kabisa

Mmmh kuna namna hapo sio bure
 
mimi hata ndugu asipokuja hainizuii kuendelea na chaguo langu maisha ni ya watu wawili na sio hao ndugu kwani hata wakija wataongeza nini au kupunguza?

Ukitaka ujue hawaongezi kitu omba upate matatizo ndo utajua.....
 
ewaa!! Huo ndio mtihan tunaopata hata sisi.
Nafikiria mengi kuwa nikioa mwanamke mwenye mtoto atapata tabu tu, najua mm peke yake ndio ntakuwa msaada kwake wala sio wifi zake wala mama mkwe wake,.
Huyo mwanamke lazma atachukiwa na ndg zangu wote, kunaleo na kesho labda mm nmesafiri ile safar ya kudumu basi mkew wangu atakuwa kinyago mbele za mawifi zake atakuwa mtu mwenye kutukana na kutengwa. Sasa kwann tufikie huko? Soln ni kuoa asiye na mtoto



sioni sababu ya mama mkwe,mawifi kuchukia kisa kaka kaoa mke mwenye mtoto wajiulize nao ni wanawake na huyo mama ana mabinti ikitokea binti yake kaolewa bahati mbaya mume kafariki/kuachika na ana watoto bahat nzuri kaolewa tena atajisikiaje akiona binti yake anasimangwa kwaajili ya watoto aliokutwa nao? haya mambo yanahitaji hekma katika kuyamua endapo ikitokea
 
Back
Top Bottom