masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,382
- 19,290
- Thread starter
- #81
Wanaume wabinafsi
katika mengi sana
Wanaume wabinafsi
Kila atakapoenda kuwekeza lazima aache watoto.
Matokeo yake akitaka kuoa, mama mzazi atataka mke asiyekuwa na mtoto, matokeo yake nakuja kulea mimi watoto
Hapana mkuu nimependa tu alivyojibu...hahahahahaaaa mkwara wakati mwingine unafaida.
Ni ngumu mno
hata nyie mama watogo wenu mkikitana inapobidi mnakumbushiana
Ujue taasisi ya ndoa hata ktk vitabu vya dini inaanza na Baraka za wazazi...
Sasa kabisa nianze kuwa kichwa ngumu kwa mama kisa mwanamke ambae alishindwa jiheshimu hadi akadungwa mimba????huo upuuzi sijaufanya bado....
Yaani na ninavochukia watoto nje ya ndoa ndo kabisa.
Kwahiyo mimi nikikuhitaji unioe wakati nina mtoto na baba yake anaishi tu mjini hapa imekula kwangu.
Duhhhh!!!!!....kweli kazi.
Ila kupenda ni kitu kingine Innocizy, waweza kuta penzi na upendo unaoupata toka kwa kigori ni mabaya afadhali hata ungeoa mwenye mtoto am aye ana kidhi vigezo
Kwa hiyo tufike sehemu tujiulize, kosa la nani?
Network pumbavu sana nimejibu swali mm binafsi ila sioni jibu
kuliko wewe miss chaga
Network pumbavu sana nimejibu swali mm binafsi ila sioni jibu
hilo ndio la msingi. Wanawake nyinyi ara nyingi ndio mnakuwa chanzo
mbona unaniombea kufa uko upande wangu au wa kifo ?
Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika
ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba utaishi na mwanangu
yaani wao uchukulia kawaida sana sisi kuishi na watoto wao bila kuuliza chochote na wao huona sinkikwazo chochote na pindi utakapokionesha basi unaonekana Mkatili unaonekana wewe sio mke mwema(JAPO KUNA WANAWAKE HUKATAA ) ila sio wengi
SASA IJE SISI NDO TUNA WATOTO
wanaume wengi hukataa kuoa mwanamke mwenye mtoto KWA MSISITIZO na hata kama akikubali husema basi mtoto wako akae kwa bibi au baba ake sijui atawajibika
na mambo mengi hapo katikati
SASA SWALI NI JE KWANINI NYIE MNAONA SISI KUKAA NA WATOTO WENU NI RAHISI LAKINI NYINYI KUKAA NA WETU NI ISSUE tena kubwa sana????
hilo ndio la msingi. Wanawake nyinyi ara nyingi ndio mnakuwa chanzo