Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Hii inawahusu sana wanaume wa kichaga....mbadilike.
Nimeshajionea kwa rafiki zangu kama 3.
Wachaga hawakubali watoto atakaowakuta nao mwanamke.
Ila wazaramo...nawapa hongera

Madame B utajiskiaje utakapomuona kaka yako ndio katoka kumaliza chuo na ameanza kufanya kazi na anamwaka mmoja kazn anakuletea wifi mwenye mtoto na wakat huo yeye hajawahi kuwa na mtoto?
....... Hapa ongea ukweli uliondan ya moyo.....
 
Last edited by a moderator:
Sasa kwanini wa kwako uliezaa na mamaafacebook namlea (natania) ila mie niliezaa na TANMO hutaki kumlea?

Ila MO11....hiyo kasumba imepitwa na Wakati, kama unanipend mimi, kwanini uchukie mtoto ulienikuta nae?
Kama ukimchukia mwanangu...jua utanikosa.
Huo ni ubaguzi mkubwa

kwa ulimwengu wa sasa wanaume inabidi wabadilike kwani kumkuta mwanamke na mtoto ni jambo la kawaida kama ilivyo kwao kuwakuta na watoto
 
Last edited by a moderator:
Dah sio wote aise ila kwa upande wangu sija bahatika kukutana na mwanamke mwenye watoto wa nje na ikitokea bas nita wa care kama wanangu wa kuwazaa coz mi mwenyew nimelelewa na baba wa kufikia na nimepewa elimu,malezi sawa bila kuonyesha ubaguzi kwa watoto wote japo alisha fariki lakini nilimueshimu kama baba na baba alie nizaa simjui mpaka leo. So mtu kama mimi sioni kama watoto wa mwanamke ni kipingamizi cha yeye kuishi na mimi na hata kama ana watoto wa 3 nitamshauri awa lete tuishi pamoja coz na wenyewe ni members wa familia.
 
Madame B utajiskiaje utakapomuona kaka yako ndio katoka kumaliza chuo na ameanza kufanya kazi na anamwaka mmoja kazn anakuletea wifi mwenye mtoto na wakat huo yeye hajawahi kuwa na mtoto?
....... Hapa ongea ukweli uliondan ya moyo.....

Sidhani kama utajibiwa toka moyoni
 
Last edited by a moderator:
mimi sikubali kabisa mwanamke aliezaa full stop......sasa mwingine unakubali mwanamke mwenye mtoto halafu huyo mtoto humkubali huko ni kutokujitambua utaweza vipi kumtenganisha mwanamke na mtoto wake?? worse case scenario baba wa mtoto lazima ahusike hapo! ndio maana mimi mwanamke aliezaa....NO NO NO!

Vipi we mtoto wako...mama wa mtoto hawezi kuhusika?
 
Sasa kwanini wa kwako uliezaa na mamaafacebook namlea (natania) ila mie niliezaa na TANMO hutaki kumlea?

Ila MO11....hiyo kasumba imepitwa na Wakati, kama unanipend mimi, kwanini uchukie mtoto ulienikuta nae?
Kama ukimchukia mwanangu...jua utanikosa.
Huo ni ubaguzi mkubwa

Huyu wa mamaafacebook nitamrudisha kwa mama yake mama yake bado hajaolewa ila huyo TANMO mpeleke kwa baba yake

halafu nani alikwambia yule mtoto ni wa mamaafacebook nilificha ili usijue
 
Last edited by a moderator:
mwanamke kama unataka maisha mazuri ktk ndoa pamoja na wanao, tunza mbuchuchu yako
 
Madame B utajiskiaje utakapomuona kaka yako ndio katoka kumaliza chuo na ameanza kufanya kazi na anamwaka mmoja kazn anakuletea wifi mwenye mtoto na wakat huo yeye hajawahi kuwa na mtoto?
....... Hapa ongea ukweli uliondan ya moyo.....

Mgirik umenikamata pabaya. Kiukweli sitakubali.
Lakini hata kama ndo imetokea, lakini kaka ndio mwenye uamuzi kwa maana yeye ndie aliyempenda yule mwanamke na ameshafahamu ana mtoto.

Mhhh....ngumu sana
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri hata wanawake wenyewe mnachangia hili suala kwa kiasi kikubwa sana hapa namaanisha Dada zetu na mama zetu.
Nakutolea mfano,shangazi yangu(Dada Wa baba) alipendwa na mjomba na wakaanza kuishi wote kabla ya kufunga ndoa.lakini shangazi yangu alikuwa ameshazaa na mwanamme mwingine.amini husiamini mama mkwe wake na mawifi zake walimchukia sana kisa kwanini kaka yao amemchumbia mwanamke mwenye mtoto.nakumbuka ilibidi yule mtoto Mimi namwita binamu baba yangu amchukue tuishi naye lakini chuki hazikuisha kwa shangazi yangu.

hili liinaweza kuchangia
Kwamba mama na ma wifi wataona kwa kuwa kaka yetu kaoa mwanamke mwenye mtoto basi ji looser si ndio
ILA WEWE KAMA MWANAUME WHY URUHUSU NDUGU WAINGILIE MAAMUZI YAKO???
kwaninumewaolea wao??
 
Watu wengi hawa wakubali watoto wa wanaume wengine kwasababu tamaduni za kibantu mmiliki wa mtoto ni mwanaume kwa hiyo kuchukua mtoto wa wanaume mwingine ni sawa kabisa nakuchukua mali za mtu mwingine na hiyo ndipo kwenye shida ila kwenye zile tamaduni ambazo mtoto ni mali ya mama au wajomba hakuna issue ikichukua mama unamchukua na mali zake. Hayo tu kwa leo
 
mimi sikubali kabisa mwanamke aliezaa full stop......sasa mwingine unakubali mwanamke mwenye mtoto halafu huyo mtoto humkubali huko ni kutokujitambua utaweza vipi kumtenganisha mwanamke na mtoto wake?? worse case scenario baba wa mtoto lazima ahusike hapo! ndio maana mimi mwanamke aliezaa....NO NO NO!

NDO MAANA ANAKUJA NAE
huwezi mtenganisha mama na mtoto
upo sawa kabisa
 
hili liinaweza kuchangia
Kwamba mama na ma wifi wataona kwa kuwa kaka yetu kaoa mwanamke mwenye mtoto basi ji looser si ndio
ILA WEWE KAMA MWANAUME WHY URUHUSU NDUGU WAINGILIE MAAMUZI YAKO???
kwaninumewaolea wao??

Huyu mjomba wangu alikubali kuoa.lakini harusi yake hakuna ndugu yake aliyehudhuria.inahitaji ujasiri sana
 
Back
Top Bottom