Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

He hata km ni utafiti hii mada kweli imeconfirm, wanaume ni selfish individuals...

umeonaa eeh
HAKUNA MWANAUME ALIEKUBALI
yaani ki ukweli tunaisshi na viumbe wa ajabu sana
 
Kamwe siwezi ishi na mwanamke aliyezaa tayari kwengine huko

Kwanza wanawake wa siku hizi wengi wana akili za kushikiwa na rahic hata kupasha kiporo na baba mtoto wake

Pili dunia ya leo mzazi na mwanae na ndiye rafiki wa kweli, sasa utalea mtoto wa mwanaume mwenzio tena unaangaika kuchapa kazi kwa juhud na kumuendeleza mwisho wa siku thamani yako aiwez kuwa kubwa kuliko ya baba yake aliyemzaa ingawa akumtunza hata kidogo.

tenda wema uende zako ukingoja malipo dunia hii utaugua ULCERS
 
Narudia tena wanawake wa sikuhizi wengi wana akili za kushikiwa kataa ukubali sihitaji kukwambia utafit nimeufanya wapi na nimeufanyeje,

Kwanini awe na baba wawili!!? Lea mwenyewe peke yako then baba yake mzazi aje nufaika huyo unaemuita biological father, ila kwangu kamwe sitamkubili mwanamke aliyezalishwa.

mama,dada,shangazi wako wanaingia HILO KUNDI LA KUSHIKIWA?
 
Eeeh kwa heri,naona haupo hapa for discussion.....mtu akikuchallenge kidogo unawaka...huwezi kuja kny forum km hii na kuja na stupid statement wanawake wa siku hizi wana akili za kushikiwa halafu ukiulizwa why umekuja na hii conclusion hutoi majibu?!.....

Halafu mbona mnatuletea watoto tunalea wakiwa wakubwa,wanalea mama zao halisi...ambao hawakuhangaika kny malezi yao? Au huoni anayenufaika ni mwingine hapo...au its ok for us to do this,nyie walaaaa...are you all wired differently from us?

wanaona sisi ni kawaida sana yaani kama akija kukutongoza anavyokwambia BABY UNIVUMLIE AM ALLERGIC TOSTRONG SCENT just easy like that
yaani yeye anaona kua na mtoto ni kama kitu kidogo sana ambacho sisi tunaweza vumilia ila wao kwetu ni sawa na kitu kikubwa ambacho hakivumiliki
 
jinsi wanawake walivyokuwa wengi, tena warembo na wabichi na wanavyotafuta ndoa, naamini ni mwehu tu anaeweza kuoa mwanamke aliezaa. Ni kujitakia stress zisizo na msingi. Ila kama ni kula bata nae tu kwa muda no problem, hii huwa tunafanya.
Pia wanawake wanaozaa na watu wasioaminika wamejitakia hivyo kugongwa na kuachwa is what they deserve.
 
Kwetu bado uchumi ni mzuri uchumi ukiwa mbaya kazi hakuna ardhi haipatikani mbona wanaume watawaowa tu wanawake wenye wtt hatavwatano cha muhimu wewe mwanamke uwe na pesa za kutosha. Kuna nchi nimeishi wanawake wenye watt wanaolewa bila shida as long as u ve money!

hapo anaeolewa si mwanamke bali ni chapaa yake! Wanaume wa ukweli haweza kuoa kitu used chenye ushahidi.
 
Ukweli wapo wanaumme wa wanaokubari,mfano mzuri ni familia yetu nishakua mtu mzima ndo najua dada yetu wa kwanza so mtoto wa baba yetu.Sijui najua peke yangu au pia ndugu zangu lakin hamna aliye sha fungua dogo nakumuliza mwenzake so ipo hiyo
 
Ndio mana kuna wanawake wanang'ang'ania ndoa yenyewe kila aina ya visa na kujitia kitanzi kisa tu anaona nani atakubali kulea mizigo ya mwenzie?

Baadhi ya wanaume hawana izo ila kiukweli kama kweli akikupenda atapenda na wanao ndio ukipemda boga ati

haswaaa...ni ngumu sana japo wako wachache kati ya 100 yupo 1
 
twende pm.ila tukifanya nusra utaanza kuvaa nikabu au full shungi je utaweza?

Uuwiii jilbabu sio? ulijuaje kama mwaka huu hilo ndo azimio languu...ila kwa kuwa umechokoza sitaki jilbabu za kariakoo nataka za kutoka Oman....hahahaaaa....
 
Kikubwa nikwasababu mwanaume ndie anaetafuta na kuhangaikia mahitaji ya nyumbani. sasa swala lakijituma sana kumlea mtoto wa kidume mwenzio ndio lakatisha tamaa sana.

Ila mkikutana wote mnamtoto labda mmoja mmoja mbona inakuwaga poa tu.
 
Ukweli wapo wanaumme wa wanaokubari,mfano mzuri ni familia yetu nishakua mtu mzima ndo najua dada yetu wa kwanza so mtoto wa baba yetu.Sijui najua peke yangu au pia ndugu zangu lakin hamna aliye sha fungua dogo nakumuliza mwenzake so ipo hiyo

aiseee ni jambo la kipekeesana
 
Kikubwa nikwasababu mwanaume ndie anaetafuta na kuhangaikia mahitaji ya nyumbani. sasa swala lakijituma sana kumlea mtoto wa kidume mwenzio ndio lakatisha tamaa sana.

Ila mkikutana wote mnamtoto labda mmoja mmoja mbona inakuwaga poa tu.

acha kuongelea pesa je ule muda mama anatoa kulea mwanao?
 
Back
Top Bottom