Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Sasa kwanini wa kwako uliezaa na mamaafacebook namlea (natania) ila mie niliezaa na TANMO hutaki kumlea?

Ila MO11....hiyo kasumba imepitwa na Wakati, kama unanipend mimi, kwanini uchukie mtoto ulienikuta nae?
Kama ukimchukia mwanangu...jua utanikosa.
Huo ni ubaguzi mkubwa

Basi mpende mwanao na ubaki single milele na milele amin!
 
Last edited by a moderator:
Na ndio maana rate ya divorce now ni kubwa than ever,
Rate ya kesi za mahusiano zilizoko mahakamani ni kubwa kuliko zamani.
Rate ya vifo vya sababu ya mapenzi ni kubwa kuliko zamani.
Rate ya mabifu mengi sio pesa Bali mapenzi


Sababu ni nn??ujuaji...... We think we know better than them parents.

Hujapenda weweeeeee.....
Na yaonesha bado uko single.
Watu wanavua undugu kisa mapenzi...itakuwa mimi
Hizo ratio zimetoka kwenye akili ya binadamu kama sisi tu, hazijatoka mbinguni.
Hivyo zaweza kuaminika au laaaaaaa kutoka na maslahi yao.
 
Ewaaaa....nilikua naendelea wewe umeniwahi......wanaume mara nyingi huwa hawana tatizo kabisa ila sasa wanawake hiyo midomo itasemwa mpaka ndoa itavunjika...
Mfano hata staa wetu kaamua kutoka na mwanamke mwenye watoto watatu na ukitazama most ya watu wanaoponda ni women....
Nilitaka kumuuliza hili swali masai dada kwann

MKUU umesema..i once dated a girl with a kid..
Mhh..ni shida..utaulizwa maswali kuanzia dada zako mpaka mabibi..
Jamani sio kila mtu ana guts na kifua cha kuvumulia maneno na masimamango ya familia au watu wakowa karibu..
Aliimba Celine Dion..." Just walk away" at sometimes its better to do so..
Ila naanza kuamini kila siku adui mkubwa wa mwanamke ni yeye mwenyewe..
Sio kwamba wanaume huwa hawapendi but hizo family pressures na mongering ya maneno
yaweza kukukondesha ati..tabu yote ya nini??
Just flow with the wind bhana...
 
Last edited by a moderator:
Duu!!! Wanaume ni wabinafi sana kwani Mimi nalea watoto 3 wa mwenzangu na wanatabia za ajabu mfano wananiibia nguo, ela na kuwapelekea mama Zhao then kibaya zaidi huyo mwanaume anawasiliana na mke aliyezaa naye. Nikimuuliza ananijibu eti wanawasiliana kwa ajili ya watoto. Imenichosha sana na wanapigiana simu wakati wa usiku tukiwa tumelala.

Pole sana
 
Msitubebeshe mizigo jamani.
Wangapi wametengwa mpaka wewe uogope?
Vaa mabomu ujilipue

weee! Thubutu yako! Yaan nitengane na wazaz wangu kwasababu ya mwanamke ambaye hakuujali uanamke wake?
Siwezi kuwatemea mate wazaz kiivyo. Sku mkianza kukumbushia na huyo mzaz mwenzako mm ntapumulia wapi?
 
chanzo ugomvi dhid ya wanawake wenye watoto kuolewa.

1. Huwez kukubali kaka yako aoe mke mwenye mtoto wakat yeye hajawahi kuoa wala kuwa na mtoto
2. Ndio chanzo cha ugomvi na wake zetu. Huwez kuishi na wifi yako kwa mda wa mwaka mmoja bila kugombana.
3. Mmejaa nyodo, kejeli na dharau kwa mawifi zenu hasa kama kaka yako ni tajiri na hasa kama hawajatafuta wote.
4. Kivumbi na jasho ni pale wifi yako hajashika mimba mnaanza mitusi kibao.
Yaan nyinyi wanawake sijui mna roho gan

Upepo tu huo.
Mangapi mnayatenda na hamuyaoni?
Unaniletea mwanamke mpaka kitandani, nimekaa kimya.
Ila kwenye chaguzi sie mawifi wabaya
 
........masai dada una watoto wangapi? Nataka uje nao tuishi pamoja maana nawapenda sana watoto kuliko Mama yao ( am joking?).
Sina uhakika sana na ulichoandika kama ni kweli kwa wanaume wote au ni wachache ambao uliwahi kuona mifano halisi lakini Wanaume wengi huamini kuwa Wanawake ni wepesi mno kukumbushia pindi wanapokutana na wazazi wenzao hivyo huona ni heri kutokuwa na mwanamke aliezaa au kukataa watoto.

Mimi naona sio haki kuwabagua watoto na pia mchezo wa wanawake kukumbushia na wazazi wenzao sio mzuri kiasi inasababisha wanaume wawakwepe mliozalishwa before.

All in all, mapenzi ni mtazamo na makubaliano ya watu wawili wanaohusika ikiwa mwanamke anaona hakubaliani na kile mwanaume anachotaka ni heri usikubali mapema ili kuondoa usumbufu hapo baadae mkiwa katika mahusiano.
 
Jamii itasema vibaya kwa mwanaume kuoa mwanamke ambaye tayar ana mtoto/watoto......Ngoma dro kama wote mtakua mna watoto nje

bora wote muoane mkiwa na watoto

hii imekaa poa
 
ki ukweli wanaume wawe na misimamo
maana hata kama kaoa mwanamke asie na mtoto
Mafiwi watasema mbona
HANA MATTAKO MAKUBWA
MBONA HANA NYWELE NYINGI

and the like ifikie hatua mwanaume asimame kama mwanaume
kwani anamuolea nani??
kila mtu akitoa kigezo chake patakalika??wifi aseme anataka nyonyo,mama aseme anataka fig no 9

waat

Eti, wakati nakuoa ulikuwa na figure nzuri, umezaa umenenepeana....kwani wakati ananioa hakujua kama natokea Moshi, mtori kwa mzazi ndo make!!!
 
ki ukweli wanaume wawe na misimamo
maana hata kama kaoa mwanamke asie na mtoto
Mafiwi watasema mbona
HANA MATTAKO MAKUBWA
MBONA HANA NYWELE NYINGI

and the like ifikie hatua mwanaume asimame kama mwanaume
kwani anamuolea nani??
kila mtu akitoa kigezo chake patakalika??wifi aseme anataka nyonyo,mama aseme anataka fig no 9

waat

Eti utamsikia anasema, wakati nakuoa ulikuwa na figure nzuri, sasa umezaa, umenenepeana, kwani wakati ananioa hakujua kama natokea Moshi, mtori kwa mzazi ndo kila kitu?
 
Kwa sababu Wanaume wa Tanzania woote ni wanaume suruali tu labda na mkanda basi, zaidi hapo hamna kitu, na hiyo ni mpaka raisi wa nchi!

unamsemea J.K
hivi ana wattoto wa wa mke wake au alikataa
sijaelewa why na yeye ameingia hapa
 
Mfano kuna rafiki angu nimekua nae na kwa sasa anajishughulisha na biashara hapa Dar, ki umri ni miaka 28 ivi ila mpaka sasa sijamwelewa maamuz yake maaana anaishi na mwanamke aliyemzidi ki umri na anawatoto wa5 ivi ambao co wa mshikaji
 
Hujapenda weweeeeee.....
Na yaonesha bado uko single.
Watu wanavua undugu kisa mapenzi...itakuwa mimi
Hizo ratio zimetoka kwenye akili ya binadamu kama sisi tu, hazijatoka mbinguni.
Hivyo zaweza kuaminika au laaaaaaa kutoka na maslahi yao.
Madame B hakuna na hakitatokea kitu kifanye mm nichukie ndugu zangu hivyo...

Na hii roho nimeitoa kwa my mom na Mzee huyu wa sasa.
My mom baada ya Mzee kufariki,ndugu wa baba walimnyang'anya kila kitu mama mpaka kijiko alichopewa kwao wakati wa send off...life was tough but she stood still na alipokutana na huyu Mzee mambo yakawa mazuri walau....accounts za bank watu wakajimilikisha(my dad was somehow rich)
Lakini kama wasemavyo waswahili "mtegemea cha ndugu hufa masikini" pamoja na hayo yote bado tuko close na ndugu hao na wengine mm binafsi nimewahudumia wakiwa wagonjwa mpaka mauti yanawakuta.....na most ya walioshupalia unyanyasaji wa mama mjane walikua wifi zake mama na mama mkwe wake,lakini huwezi amani my mom still helps them awezavyo.



So Madame B kwa scenario hiyo kidogo hapo juu unadhani naanzaje labda kusema eti nimependa mpaka niache msikiliza mwanamke aliyenitoa that far kisa mapenzi????

Pia naomba nikueleweshe kidogo.....falling deeply in love doesn't mean you've to do stupid things.....kwamba nikiacha msikiliza mama kwaajili yako ndo nakupenda,no huo ni undezi.
 
Last edited by a moderator:
Madame, umewakilisha kundi kubwa la wanawake!! Hiyo ndiyo hali halisi, wanaume mara nyingi huwa hatuna hayo matatizo ya kiviiile!! Hata angalia mahusiano ya Zari mwenye watoto watatu na Diamond wanaopinga sana yale mahusiano ni wanawake!!

Wanawake mpo nyuma maasi mengi ya wanaume ila hamjioni tu!!

Nimesema sikubali...ila pale chini nikamalizia kuwa kama kaka yangu kampenda mwenyewe.....sina budi kuwaacha
 
Back
Top Bottom