Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 9,036
- 12,603
Gud
Ufungue biashara au ufanye biashara??jibu kwanza hilo halafu tuendelee
Biashara zipo nyingi za mtaji mdogo, ni wewe tu.
1. Kutembeza maji na juice Stand.
2. Kufungua goli la nguo za watoto.
3. Kufungua kijiwe cha uji na karanga.
4. Kufuga kuku wa kienyeji.
5. Kufungua genge la nyanya, vitunguu, viazi mviringo, ndizi, karot, hoho e.t.c.
6. Kununua na kuuza mayai.
7. Kununua toroli na madumu na kusambaza maji(kwa maeneo yenye shida ya maji).
8. Kutembeza vifaa vya simu na umeme.
9. Kuchoma mishikaki na dizi(kama huwezi unaajiri kijana anayeweza).
10.Kijiwe cha chipsi.
11. Kutembeza Viatu vya kike/kiume.
12. Kuandaa vitafunio vya chai kama, maandazi, chapati na vitumbua(wape vijana watembeze).
13. Kama upo kanda ya ziwa nunua na kuuza samaki.
14. Nunua deri halafu tengeza barafu uuze shule za msingi.
15. Point na utembeze nguo za wanawake
16. Tembeza viungo vya pilau na chai like mdalasini, iriki, pilau masala, royco e.t.c.
17. Fungua genge la matunda.
18. Funga ubuyu, karanga, ufuta, tambi e.t.c then uza shule za msingi.
19. Tengeza kabati la sambusa, uanze kutembeza sambusa hasa maeneo ya stand.
20. Nunua na kuuza mkaa.
Kila Lakheri.
Kwa wasio na fensi nyumba uswahilini.Wazo lako ni zuri pia, Vijana wengi tunashindwa kujikita ktk biashara kwa kutaka kuanza Pakubwa bila kuptia padogo kwanza... Mi npo Dsm mtaji wa laki 2 nlianza kununua kuku wa kienyej kifaranga k1 elfu 20 * 50 ... Hawana gharama kama kuku wa kizungu, nahisi gharama kubwa zaid ni eneo tu kama upo ugenini... ila now yapo mpk mabanda ya kukodi kufugia kuku inategmea na Ulipo ila inaweza kua gharama zaid kwa mtaji mdogo.
hapana mkuuNi mwenyeji wa huko unakotaka kwenda? Tuanzie hapo kwanza
chakula hata cha miaka 5 ijayo budget yake ninayo mkuuu nj na mtajiNdani ya iyo miezi sita itakuwa unakula nini ??
asanteWazo lako ni zuri pia, Vijana wengi tunashindwa kujikita ktk biashara kwa kutaka kuanza Pakubwa bila kuptia padogo kwanza... Mi npo Dsm mtaji wa laki 2 nlianza kununua kuku wa kienyej kifaranga k1 elfu 20 * 50 ...
Hawana gharama kama kuku wa kizungu, nahisi gharama kubwa zaid ni eneo tu kama upo ugenini... ila now yapo mpk mabanda ya kukodi kufugia kuku inategmea na Ulipo ila inaweza kua gharama zaid kwa mtaji mdogo.
Inakuwaje hii na Mtaji unakuwaje 100,000 inatosha.Kwa Sasa huko Ni msimu wa kuvuna kahawa, nenda kwa wakulima mashambani nunua kahawa alafu uje uhuze kwa wafanyabiashara wa kati au wakubwa. Ukiuza unarudi Tena kununua mashamban, kadiri unavyouza na kupata faida unakuwa unaongeza mzigo. Mpaka msimu unakija kuisha utakuwa umeshaongeza mtaji wako, hapo unaweza kuhamia kwenye biashara nyingine.