GreatMkubwa
Member
- Jun 25, 2012
- 99
- 57
Biashara ya uyoga ni nzuri sana, kwa kuanzia unaweza kutumia hata chini ya laki moja na ukapata faida kubwa tu.
Cha kufanya ni wewe uulime mwenyewe, then unafanya packaging na kuuza kwa wateja direct, uyoga una watumiaji wengi sana kwa siku hizi. Ingia mtandaoni google kilimo cha uyoga jifunze. nenda Youtube wapo wakenya wameweka details za kutosha sana. Hapa bongo wapo jamaa wanaitwa [HASHTAG]#Hertufarms[/HASHTAG] wafatilie facebook, insta mpaka you tube utakuja na majibu mazuri naamini. Mimi pia nalima uyoga.