Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Hi Wakuu
Naflai kua pamoja na watanzania wenye kiu ya maendeleo, Naitwa Luke ni kijana niliyeitim kidato cha sita Mwaka jana 2016 baada ya hapo vkuad na popote pa kwenda kwani nlikataliwa na baba yangu mzazi nikiwa kidato cha pili na mbaya zaid upande wa baba wote wakanikataa hivyo nliishi na bibi yangu kwa kipindi hiki chote na baada ya kuhitim kidato cha sita bibi yangu nlieishi naye kama mlezi alipoteza maisha na mjomba hakutaka kuniona pale kwao hivyo nikafukuzwa, nimekua natembea tu nitafite biashara yoyote nifanye chuo siwee kwenda...nisaidien wakuu nifanye nn
 
This is true u will get more money if you give thst money to street children or people with no money then start planning which to invest ndio uchasing or work for money to make your dream come true.
Hii itakusaidia sana kuliko kunywa bia ambazo zitakuongezea mawazo
Mkekabet, mbet na biko pia vitakusaidia.
Kama hautojari
 
How much have given to street children? Or people with no money!!! Who are people with no money? My friend kama huwezi kushauri ni bora ukakaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom