Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

xfactor
 
kila la kheir mkuu kwa darasa lenye manufaa naminaomba kujiunga kwenye group 0773357756
 
Among best thread i hav ever read....mtoa uzi...ningekuwa na mamlaka ya kukuahidi pepo...basi ningefanya hivo....si kwa sababu ya elimu tu bali kwa kutoonesha unafiki au maslah ya aina yyte....yaan umekuwa kama neno maarufu....linalosema na kila mwenye sikio na asikie....!! Asante sana mzalendo!!
 

duuu! aksante sana
 
[QUOTE=issa ramadhani;HABARI BRO NIMEONA SEHEMU UMECHANGIA MADA NA WZO ..KUHUSU BIASHARA YA CD ,MEMORY CARD NA VINGINE NAKUOMBA UNICHANGANULIE A-Z YA HII KITU NAIPENDA TOKA MOYONI.MTAJI NA UPATIKANAJI WAKO KWA MFANO NIKO MKOANI HAPA MOSHI
 
Nunua nguo za mtumba na viheren vya bei rahis au nguo za ndani alafu anza kutembeza vyuoni...ukiwa na bidii mtaj unakua fasta.
 
Mimi ni mkazi wa Mwanza. Nategemea kuanzisha uzalishaji mdogo wa SEMBE Kwa utaratibu ufuatao:

1.Sitakodisha pango wala kununua mashine ya ukoboaji maana mtaji ni mdogo bali ntakua nikikoboa na kusaga kwenye mashine ya mtu.

2.Sitatafuta usajili wa business name maana mtaji ni mdogo.

3. Naomba maelekezo wapi yanapatikana mahindi yenye mbegu ndogo hapa mwanza kwa uzalishaji wa sembe.

4.Naomba maelekezo wapi vinapatikana vifungashio vya unga vya bei nafuu vya kilo moja, tano na kumi.

5. Naomba ushauri juu ya gharama za uzalishaji wa Sembe.

6. Naomba ushauri wa masoko na mauzo ya unga wa sembe kwa jiji la Mwanza.

7.Naomba business connection na wafanyabiashara wawezao kununua unga wangu wa Sembe kwa jiji la Mwanza.

8. Naomba ushauri juu ya ufungishaji wa sembe kwenye mifuko yake.

9.Naomba ushauri juu ya uzoefu wa biashara hii na jambo lolote litakalonisaidia kuifanikisha.

NITASHUKURU KWA MAWAZO YENU
 
Namba 6,7 na 9 tuwasiliane kwa namba 0765999539 niko Kirumba,nitatoa uzoefu na ujuzi wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…