Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Na mimi nasubiri ushauri.
Nistue ukiupata ushauri mzur
Na mimi nasubiri ushauri.
Wewe omba tobaIko ivi... Kwenye biblia kwa wale wakristo. Utaona kwamba.. Kuna mungu iliyoandikwa kwa herufi ndogo na MUNGU ya herufi kubwa. Tofaut ni kwamba mungu ya herufi kubwa ni Mungu wa miungu yote na mungu wa herufi ndogo ni miungu mingineyo kama shetani, mabudha.. n.k
Hapana usizae tu iliupate mtoto, Mtoto anahitaji malezi ya baba na mama..Mbona mnazidi kunkatisha tamaa asee mara hivi mara vile sasa yupi ndo wa kuoa daah ngoja ntafute wa kunzalia tu
Dereva nakuona nakuonaMtoa uzi naomba niongeze kidogo....Vip kama mwanamke kakuzidi umri lakini kielimu Mwanaume ukawa juu...I mean mwanaume degree mwanamke la saba au form 4.
Mm,nilikua na mahusiano na Dada mmoja hv,kanizid umri kama miaka 4,tatizo lake alikua ananichukulia mm kama mdogo wake badala ya mpenz wake,Mara anitume kununua nyanya,mkaa.na baya zaidi yeye alikua ana kazi mm nilikua sina kazi,akitoka kazin lazima anipigie simu nikampokee,nisipoenda balaa atanuna hapo,papuchi upewi,wivu wa kupindukia.ukitaka kuishi na mwanamke aliye kuzidi inatakiwa uwe boya kidogo.






kwanini asikutume sasa ulitaka ukae bure.Sasa wewe unataka ushauri wa nini shemeji?
Ni stori ndefu shemeji..Sasa wewe unataka ushauri wa nini shemeji?
Kwani unataka kuijua?![]()
![]()
![]()
![]()
Isamaraizi basi.